Dogo unakomaa na fursa naona, ngoja tuone huu mchezo utafika wapi.I'm no loser, date me please good lady!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo unakomaa na fursa naona, ngoja tuone huu mchezo utafika wapi.I'm no loser, date me please good lady!
Mkuu, mimi nipo ndani ya ndoa.Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........
Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
hongeraTunafanya miradi ili kusaidia waume zetu. Miradi yetu haihitaji mitaji mikubwa. Uji wa ulezi au wa mchele, makande au chapati. Tena tunaishi kwa amani.
kidume mzigo pesa ndo kilakitu etieeMachine bila lubricants sio machine shost.....uwe na mashine lakini pesa uwe nayo
Kongole. I like itMaridhiano
Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo
Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
Kati ya wanawake 100 anaweza asipatikane hata mojaFuraha inadumu katika hali duni kama ukipata mwanamke anayekupenda kwa dhati mixer ana hofu ya Mungu
wewe ndio unatema madini hiviMaridhiano
Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo
Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
You got a brain gal. Hope sio nyuma ya keyboard tuHahaahaaa. I'd never hit my man. But then again, I'd never date a loser either.
Mie naamini wapoKati ya wanawake 100 anaweza asipatikane hata moja
Shukrani, heri nawe pia.ahaha, shukran rafiki
Nipo best, heri ya mwaka mpya
Ningekuwa Sina mke hakiyamungu ningekuoaMaridhiano
Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo
Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
hapa napoishi jamaa ameoa mke wake huyo kisu balaa,,yaani ni mtamu si mchezo si unajua madem wa longido,manyara singida huko,,,,sema jamaa anakula adhabu za kutosha yaani mke anataka apatiwe anachotaka ontime,,juzi mke ka demand wahamie kupanga nyumba nzma,,msela ikabidi akope tuu,,before tena aliomba anunuliwe kabati la nguo,jamaa hakua na pesa akaenda kopa,,mme asipo timiza mke anasema anataka arudi kwaoMaridhiano
Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo
Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
pole sana kwan na mie nimeshaolewa.
kwa uelewa wanguhapa napoishi jamaa ameoa mke wake huyo kisu balaa,,yaani ni mtamu si mchezo si unajua madem wa longido,manyara singida huko,,,,sema jamaa anakula adhabu za kutosha yaani mke anataka apatiwe anachotaka ontime,,juzi mke ka demand wahamie kupanga nyumba nzma,,msela ikabidi akope tuu,,before tena aliomba anunuliwe kabati la nguo,jamaa hakua na pesa akaenda kopa,,mme asipo timiza mke anasema anataka arudi kwao
na kama si kuhama nazani ningeingia mtegoni,,mke alishaanza ishara za kutaka nimfukunyuekwa uelewa wangu
Mume ni kama mtoto, akishaoa yeye ndio hua juu ya mke na s mke kuamua anavyotaka, mume ni mapenzi na jinsi ya kuishi naye tu halaf wanawake tutambue na uwezo wa wanaume zetu, mume akakope akuridhishe ww mwisho wa siku aumize kichwa kukutaftia kula kukuvisha na mahitaji mengine unampa mzigo ambao mlipaswa muubebe pamoja
Kabla mume wangu hajanioa ninaelewa kipato chake na kaz anayofanya hata kama atakua anaingiza millioni ipo siku pesa hazitakua zinakuja kwa mtiririko huo lazima kuna kupata na kukosa kama mkewe lazima nimfariji wakat wote na s kumpa presha ka hizo
Hiyo ndoa ni ngumu na maisha yake ni mafupu kama njiti ya kiberiti kama mkewe atakua hivo au hajapelekwa kwa somo akafundishwa??