Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Mkuu, mimi nipo ndani ya ndoa.
Naomba nikuambie kwamba katika yote ulio yaandika hapo juu, umefanikiwa kupitia hitaji moja (1) tu lamsingi ndani ya mahitaji matatu (3) ya msingi kwa mke.
 
Maridhiano

Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo

Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
Kongole. I like it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio unatema madini hivi
 
Mara nyingi vitu kama furaha ,amani ,upendo,hekima busara hivi ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa watu wake haijalishi masikini au tajiri.Usitegemee eti ukiwa na hela utavipata hivi vitu unajidanganya na ukisema uviforce kwa kutumia hela yako mwisho wa siku utaumizwa kihisia na kuwa na lundo la marafiki fake wasio na msaada katika maisha yako.
 
Maridhiano

Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo

Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
Ningekuwa Sina mke hakiyamungu ningekuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maridhiano

Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo

Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
hapa napoishi jamaa ameoa mke wake huyo kisu balaa,,yaani ni mtamu si mchezo si unajua madem wa longido,manyara singida huko,,,,sema jamaa anakula adhabu za kutosha yaani mke anataka apatiwe anachotaka ontime,,juzi mke ka demand wahamie kupanga nyumba nzma,,msela ikabidi akope tuu,,before tena aliomba anunuliwe kabati la nguo,jamaa hakua na pesa akaenda kopa,,mme asipo timiza mke anasema anataka arudi kwao
 
kwa uelewa wangu

Mume ni kama mtoto, akishaoa yeye ndio hua juu ya mke na s mke kuamua anavyotaka, mume ni mapenzi na jinsi ya kuishi naye tu halaf wanawake tutambue na uwezo wa wanaume zetu, mume akakope akuridhishe ww mwisho wa siku aumize kichwa kukutaftia kula kukuvisha na mahitaji mengine unampa mzigo ambao mlipaswa muubebe pamoja

Kabla mume wangu hajanioa ninaelewa kipato chake na kaz anayofanya hata kama atakua anaingiza millioni ipo siku pesa hazitakua zinakuja kwa mtiririko huo lazima kuna kupata na kukosa kama mkewe lazima nimfariji wakat wote na s kumpa presha ka hizo

Hiyo ndoa ni ngumu na maisha yake ni mafupu kama njiti ya kiberiti kama mkewe atakua hivo au hajapelekwa kwa somo akafundishwa??
 
na kama si kuhama nazani ningeingia mtegoni,,mke alishaanza ishara za kutaka nimfukunyue
 
Back
Top Bottom