Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?



Mwanamke mwenye upeo wa kuelewa hiyo mipango yako hapigi mikelele hiyo. A smart woman even goes through the proposal anai edit ama anakupa wazo totally different but very potential.
 
Kidogo chako kikubwa cha mwenzio
 
Tunafanya miradi ili kusaidia waume zetu. Miradi yetu haihitaji mitaji mikubwa. Uji wa ulezi au wa mchele, makande au chapati. Tena tunaishi kwa amani.
What a wise word from a wife material hapa.
And hiki ndiko wanawake wenye busara wanacho. Sitegem kumpata mwanamke mwenye akili hii kutoka kwa.slay queens

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukiona mwanamke anakulinganisha na mtu mwingine jitafakari
 
Inaonyesha Wa kwako usipompa hayo mahitaji atakukimbia na atahamia kwa wenye uwezo Wa kumtimizia hayo. Kwa ushauri tu huyo umeoa gubegube siyo mke huyo,hivyo mkimbie fasta
 
na kama si kuhama nazani ningeingia mtegoni,,mke alishaanza ishara za kutaka nimfukunyue
Mungu atuepushie madhila haya, ni dhambi sana kuzini ukiwa na ndoa yak halaf mtu kama humtaki unaachana naye tu kwa amani kabla hamjafika mbali
 
NIMEAMINI KWELI UMEKUJA KIVINGINE KABISA HUU MWAKA 2019.

BIG UP SANA MKUU KUCHANGIA WAZO BORA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…