Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
 
Maridhiano

Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo

Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Mkiendelea hivyo mtajikuta mnachochea u-lgbtq hivi hivi
 
Sio wanawake wote malimbukeni wa hela. Na pia sisi wanawake tunabadilikaga kulingana na mazingira.

Mfano una mwanamme ana kipato kidogo, ana akili za maendeleo, anakupenda, kukujali na kukuheshimu, anakushirikisha katika budget ya nyumba yenu etc why uruhusu hela iwe ni kikwazo katika maisha yenu.

Sasa umkute mume mwenyewe ni Konki liquidi, deile anapiga maji na kurudi home kalewa hana mia mfukoni, asubuhi ni wale wa fanya mpango mke wangu. Hajali familia, uhuni humo humo. Panaanza kukalikaje kwa mfano? Na kichapo utachezea.
 
Kama hujaolewa nilete maombi huko ila hapo kwenye kichapo unadanganya sio?
 
Back
Top Bottom