Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

Wanaume wenye vipato duni mnamudu vipi kuishi kwa furaha na amani na wake zenu?

.
FB_IMG_1546501893707.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Wapo wengi ambao wanamudu zaidi ya hayo lakini hawana furaha ktk ndoa au mahusiano yao.

Ni hivi you will never satisfy a human being.

Give them a yard, they want a mile.

Give them a Range Rover, they want a Hummer.

Give them a Maserati, they want a Lamboghini.

Give them a pent house, they want a mansion.

BUT what we have to do is accept and appriciate what we have. Give thanks and praise. You will never know the real value of what you have until you lose it.

Ukisha badilisha mke au mume mara kibao ndio utajua there is no such thing as perfect husband or wife, But in real world life one has to look for an ideal person.
 
Maridhiano

Hata nikitaka vyote mume wangu kunitimizia kwa wakati ni ngumu lazima ajikune pale mkono unafika na siwez mpa presha anipe vitu asivokua na uwezo navyo

Nampenda yeye kama yeye hayo mengine yapo siku zote fashen za wanawake hua zinaisha zinakuja mpya tukishindana nazo tutajaza makabati bure
Always uko na busara ya daraja A.

Upo best?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwann wote hatuwezi kupenda,
binadamu hacha niwaambie,
Labda sisi wote wenda wazimu,
Labda laana yetu pesa,
Siku ukipoteza kila kitu,
Binadamu watakucheka...... ..............................

Kesho wampigie demu wangu simu asahau alivo nipenda hayawaniii, hayawanii.

NINA HAPA MAISHA YANGU YOTE SITO KUJA KUOWA BINTI ASIYE MJUA MUNGU, MUNGU WA ISAKA NA YAKOBO MUNGU WA IBRAHIMU.
Tunafanya miradi ili kusaidia waume zetu. Miradi yetu haihitaji mitaji mikubwa. Uji wa ulezi au wa mchele, makande au chapati. Tena tunaishi kwa amani.
Furaha inadumu katika hali duni kama ukipata mwanamke anayekupenda kwa dhati mixer ana hofu ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Kuna baadhi ya masikini wanaishi kwa furaha na amani kwa kipato kidogo mno kuliko hata matajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke matunzo,
Mwanamke kupewa apemdacho,
Mwamke shopping,
Mwanamke urembo,
Mwanamke kupetimwa, Mwanamke Fashion,
Mwanamke madikodiko,
Mwanamke mtoko,
Mwanamke .........

Ukiyamudu hayo wallah you will be the happiest man in da gloobe!
Wanaisha kwa neema tu.
 
Back
Top Bottom