Wanaume wenye wivu kupitiliza twaundiwa kifaa! Heko SIDO!

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan!
Huduma inabak ya mmoja tu!.
Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho.
Unapata watoto wa nyonga yako tu.
Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz.
Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu.
CHANGAMOTO:
1. wenye master key
2. Muundaji kuacha hitilaf ya makusud.
 
Attachments

  • 1630809907.mp4
    530.9 KB
Mnapakuwa mapicha mtandaoni mnawasingizia sido.

Kwa hali hii tutegemee naendeleo kutoka kwenu?
. Ujinga kama huu zamani walikuwa nao wanaojiitq Mshana Jr. na Mzizi mkavu.

Baada ya kuwashikia bango na kuizowea mitandao, wakajirekebisha.

Naona wajinga wenzao, wapya, wameanza tena ule ujinga wa hao kaka zao.

Kwani ukiandika ukweli na ukaweka source itakuwa nini?

Punguwani wahed.
 
We bibi kwanini unatukana wanaume ?
 
Back
Top Bottom