Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam wakuu.

Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA

Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama.

Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini.

Nawasilisha. Kikubwa ni tattoo.

Mode naomba unilinde. Ahsante

Note; tatoo gani nzuri, kipepeo, au rose flower, nasikia wengine wanachora hadi mijusi.
 
Tattoo ya kibabe ni bisu lenye damu ama skull n bones
 
Hii
FB_IMG_1731258472968.jpg
 
Mkuu mwambie achore picha ya namna hii Kwa upaja wake mweupee
FB_IMG_1728237164858.jpg
 
Mimi kama profeshino trainer wa baltazar nasema huu hauna mashiko kwenye sector ya kunyandua. Tuupuzie.
 
Back
Top Bottom