Tattoo ya kibabe ni bisu lenye damu ama skull n bonesSalaam wakuu.
Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA
Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama.
Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini.
Nawasilisha. Kikubwa ni tattoo.
Mode naomba unilinde. Ahsante
Note; tatoo gani nzuri, kipepeo, au rose flower, nasikia wengine wanachora hadi mijusi.
Sana Team Itapiga BollSisi Man U tunamshukuru sana Ruud...
Yeah upinzani sasa utaanza kuonekana.Sana Team Itapiga Boll
Kwenye six mkono!Nimekusoma, inapendeza zaidi akiichora wapi ?
Mstari was ikweta kwenye maungio ya bondeniNimekusoma, inapendeza zaidi akiichora wapi ?