Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Itakuwa haubadirishi mpaka ichanike kwa gesi ya uchafu
Nikiwa home huwa napenda kukaa kifua wazi. Kuna siku walikuja wageni sikumbuki walikaa siku ngapi ila nachokumbuka mgeni mmoja wa kike aliniuliza " unaipenda sana hiyo boxer eeenh?? "
 
Aisee
 
Au wewe ndani unavaa bukta ya Jeans ndio unataka tukuige[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bukta ya jinsi ikikomaa utaikimbia
 
Kuwa na boxer nyingi siyo tatizo je huwa unabadilisha mala ngapi kwa wiki?
Hahaha aisee hamna usafi ninaoujal kama huu..kila siku mimi navaa boxer ingine, kila siku, sijawah kuvaa boxer au nguo mara mbili mbili mfululizo.
 
Boxer niliyovaa leo. Nilenda nayo Mliman city siku ya Alhamis. Nikanyoosha kwenda Tegeta. Nikarudi zangu hadi Kigamboni ambapo nipo hadi sasa na boxer ile ile.
 
Mwambwaro. Anataka tumuige kuvaa kaptura ya jeans
Usipoifua wiki inakakamaa kama ngozi ya chui
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ukiiloeka kwenye maji fisi akiiona anajua ni ngozi ya mbuzi anasepa nayo
 
Boxer niliyovaa leo. Nilenda nayo Mliman city siku ya Alhamis. Nikanyoosha kwenda Tegeta. Nikarudi zangu hadi Kigamboni ambapo nipo hadi sasa na boxer ile ile.
Boxer ipi mkuu pikipiki au boxer nguo?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…