Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Kwakweli mimi kila iitwapo leo nabadilisha
Yaani kukicha tu nikisha oga naenda lala navaa mkaputula mkubwa kwa usiku asubuhi nikioga navaa boxer nyingine sio ile niliyovaa jana
Huenda ni kwa sababu sifui mie labda!!!
Namshukuru sana mke wangu yeye ndo kila kitu kwa usafi wangu
HakyaMungu asante sana wife
Kumbe wenzangu mwavaa mala 2.3 4
 
Hiyo ni nguo kama kawaida haijalishi niko wapi, kila siku lazima nibadilishe.....
 
Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
..

Cc Zero IQ
😀😀😀
 
Mimi ninazo mbili kubadilisha hadi nipate mda wa kufua nyingine na ikauke, wastani siku 7 hadi 8.
 
Back
Top Bottom