Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer mara ngapi kwa wiki?

Kabisa nakumbuka miaka kama 8 iliyopita nilikua navaa nguo ya ndani mwezi mpaka inakuwa na uvundo na nikivua kuifua inachanika
Na kuna mtu tulikuwa na amekuja kuniambia juzi kuwa nilikua na kaharufu kabeberu haamini kama ni mimi
Acha utani mkuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unajisikiaa bhana
 
Kabisa nakumbuka miaka kama 8 iliyopita nilikua navaa nguo ya ndani mwezi mpaka inakuwa na uvundo na nikivua kuifua inachanika
Na kuna mtu tulikuwa na amekuja kuniambia juzi kuwa nilikua na kaharufu kabeberu haamini kama ni mimi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]we ulikuwa noma mpaka inachanika ukiifua
 
Back
Top Bottom