Wanaume wenzangu huu sio mwezi wa kuhonga ni mwezi wa kujiandaa na ada za watoto

Wanaume wenzangu huu sio mwezi wa kuhonga ni mwezi wa kujiandaa na ada za watoto

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naihusia nafsi yangu na ya wanaume wenzangu mwezi huu na January sio ya kuhonga kwà vimada na madanga yasiyo na shukrani ni mwezi wa kuandaa ada ya watoto. Kwà mlio wabishi mtakuja kunikumbuka!! Nimekaa pale kama umbwa!
 
Naihusia nafsi yangu na ya wanaume wenzangu mwezi huu na January sio ya kuhonga kwà vimada na madanga yasiyo na shukrani ni mwezi wa kuandaa ada ya watoto. Kwà mlio wabishi mtakuja kunikumbuka!! Nimekaa pale kama umbwa!!!!
Kwani serikali imeanza kutoza ada shuleni tena??
 
Yaan salary 6500k per month
Matumizi sasa
Msosi 200000
Matumiz ya wife 50000
Mchepuko nauli 70000
Nguo za watoto 80000

Inayobaki yakwangu kulewea na kusafisha mirija
 
Pole sana,

Bajeti ya sikukuu Christmas and New Year tayari ipo mikononi mwa wife

Michepuko wote wanne tayari pockets money zao zipo ok.

Fungu kwaajili ya watu kadhaa wasiojiweza lipo ok.

Pesa ya kumwagilia moyo na wanangu mwezi huu ipo sawa tu.

School fees kwaajili ya watoto, my wife atajua yeye kupitia CRDB , Mimi huko huwa sihusiki.

Mimi si mkamilifu lolote laweza kunitokea na nikakatisha ndoto zangu, kwani uhai si mali yangu mwenyewe akitaka atachukua muda wowote ule.
 
Yaan salary 6500k per month
Matumizi sasa
Msosi 200000
Matumiz ya wife 50000
Mchepuko nauli 70000
Nguo za watoto 80000

Inayobaki yakwangu kulewea na kusafisha mirija.
Fafanua tafadhali.
 
Back
Top Bottom