Kwani serikali imeanza kutoza ada shuleni tena??Naihusia nafsi yangu na ya wanaume wenzangu mwezi huu na January sio ya kuhonga kwà vimada na madanga yasiyo na shukrani ni mwezi wa kuandaa ada ya watoto. Kwà mlio wabishi mtakuja kunikumbuka!! Nimekaa pale kama umbwa!!!!
Hesabu za wapi hizi? Memkwa au QT?Yaan salary 6500k per month
Matumizi sasa
Msosi 200000
Matumiz ya wife 50000
Mchepuko nauli 70000
Nguo za watoto 80000
Inayobaki yakwangu kulewea na kusafisha mirija
Fafanua tafadhali.Yaan salary 6500k per month
Matumizi sasa
Msosi 200000
Matumiz ya wife 50000
Mchepuko nauli 70000
Nguo za watoto 80000
Inayobaki yakwangu kulewea na kusafisha mirija.