Wanaume wenzangu mnisaidie naenda kupoteza mchumba

Wanaume wenzangu mnisaidie naenda kupoteza mchumba

Swala lipo hivi wakati ninapo kutana na mwanamke natumia dakika 10 hadi 15 kukojoa bao la kwanza na bao la 2 Kuna mda inafika mpaka dakika 30 hata 40 kitu ambacho kwa mchumba wangu anashindwa kabisa kuvumilia
Tangazo limekaa kimkakati sana hili. Haya lipia afu subiri Pm watakuja wenyewe kwa makundi, kazi yako kuchagua tu
 
Mada ya kimkakati, anyway kamsemee kwa babaake
 
Haya maisha bana wewe unalia upunguze nguvu za kiume. Wengine wanalia wawe na nguvu za kiume kama za kwako.
 
Huyo demu wako ni wa baridi sana. Mi huwa inanitokea kwa baadhi ya mademu nachukua hata masaa mawili au naamua tu kuacha simalizi. Sababu hawana utamu/joto telezi.
 
Labda kama unatumia Skanka mkuu That shit blows your feelings away unaichapa mbunye mbaya mbaya ila kwa upande wangu Them girls likes it Mwanamke ukimuwezea huko chini unampeleka utavyotaka
 
Habari zenu wana jamvi

Kwa kweli kijana mwenzenu nina changamoto ambayo inapelekea nakosa amani kabisa ninapokutana kimapenzi na mchumba wangu kitu ambacho kwa sasa hakinipi furaha tena

Kwa sasa nina changamoto ya kuchelewa sana kumwaga (kukojoa) wakati nafanya mapenzi na mchumba wangu swala ambalo mwanzo nilikua napenda ila kwa sasa Sina hamu tena

Swala lipo hivi wakati ninapo kutana na mwanamke natumia dakika 10 hadi 15 kukojoa bao la kwanza na bao la 2 Kuna mda inafika mpaka dakika 30 hata 40 kitu ambacho kwa mchumba wangu anashindwa kabisa kuvumilia

Kwa sasa tunapofanya mapenzi tukienda round 2 tu mpaka namaliza yeye anakua amevimba sana sehemu zake za Siri na anakua analalamika namuumiza

Mda mwingi anakua ananiambia nikojoe lakini najilazimisha lakini nashindwa kabisa kuwahi kukojoa

Kuna rafiki yangu nilimshirikisha hili swala akaniambia wakati tunakutana nisiwe namfanyia maandalizi sababu ili na yeye awe anachelewa kuloa mpaka anafika kileleni

Nikaanza huo utaratibu Kila tukifanya mapenzi tunatumia mafuta tu badala ya kumuandaa mpaka aloane lakini mbali na kutumia mafuta ila mimi hali yangu ya kuchelewa kumaliza ipo pale pale

Kila tukikutana lazima avimbe sababu anasema namsugua mda mrefu sana na anachoka, kitu ambacho kwa sasa tunafanya mapenzi round 1 tu

Kwa kweli mimi nilikua napenda sana kufanya mazoezi ya kegel na mazoezi ya viungo kitu ambacho naona kimepeleka hii hali ya kuchelewa sana kukojoa

Pia mchumba wangu akaniambia niwe nafanya punyeto labda itasaidia kulegeza mishipa ya uume niwe nawahi kukojoa lakini hali ipo pale pale na analalamika pia uume wangu ni mkubwa sana kitu ambacho kwenye mapenzi yeye anakua mwisho anapata maumivu tu

Mchumba wangu huyu ni mkubwa kwangu ananizidi miaka mitatu kabisa na tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 2 sasa lakini mpaka leo hajazoea anatumia

OMBI LANGU: Naombeni dawa wanaume wenzangu ya kuwahi kukojoa hata ndani ya dakika 5 niwe nimekojoa, hii hali inaninyima amani kabisa ya kusex na mchumba wangu

Muwe na wakati mwema wakuu nasoma ushauri wenu🙏🙏
Mmechokana 😝
 
Mbona hakuna tatizo hapo. Unatakiwa uangalie wewe kama unaridhika, ukisharidhika toka juu ya kifua cha huyo manzi ukafanye mambo mengine. Mwanamke hana shukrani
 
Back
Top Bottom