Wanaume wenzangu mnisaidie naenda kupoteza mchumba

Swala lipo hivi wakati ninapo kutana na mwanamke natumia dakika 10 hadi 15 kukojoa bao la kwanza na bao la 2 Kuna mda inafika mpaka dakika 30 hata 40 kitu ambacho kwa mchumba wangu anashindwa kabisa kuvumilia
Tangazo limekaa kimkakati sana hili. Haya lipia afu subiri Pm watakuja wenyewe kwa makundi, kazi yako kuchagua tu
 
Mada ya kimkakati, anyway kamsemee kwa babaake
 
Haya maisha bana wewe unalia upunguze nguvu za kiume. Wengine wanalia wawe na nguvu za kiume kama za kwako.
 
Huyo demu wako ni wa baridi sana. Mi huwa inanitokea kwa baadhi ya mademu nachukua hata masaa mawili au naamua tu kuacha simalizi. Sababu hawana utamu/joto telezi.
 
Punyeto ndio itakufanya uchelewe na hata kukosa hamu nae kabisa , kwa sababu wanawake unaokutana nao kwenye punyeto ni wazuri na warembo mno , mwisho wasiku utaona hata huyo mchumba wako hatoshei
mamamae nimecheka kama mazuri
 
Labda kama unatumia Skanka mkuu That shit blows your feelings away unaichapa mbunye mbaya mbaya ila kwa upande wangu Them girls likes it Mwanamke ukimuwezea huko chini unampeleka utavyotaka
 
Mmechokana 😝
 
Mbona hakuna tatizo hapo. Unatakiwa uangalie wewe kama unaridhika, ukisharidhika toka juu ya kifua cha huyo manzi ukafanye mambo mengine. Mwanamke hana shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…