Wanaume wenzangu msitafute laana acheni mchezo wa kutumia ulimi kuupiga deki uke

Wanaume wenzangu msitafute laana acheni mchezo wa kutumia ulimi kuupiga deki uke

Uzi mzuri lakin una hila nyuma yake. Huu uzi ungekuwa umeandikwa on basis ya maandiko ya Mungu ulikua na nguvu mno. Kuna mkuu juu kaquote mistari kadhaa ya biblia. Tunaacha kutumia viungo katika asili. Neno hilohilo lililosema wanawake wawatii waume zao na waume wawapende wake zao ndo neno hilohilo linalokataza mambo yasiyofaa baina ya mke na mume.

Oral sex sio mpango wa Mungu. Tendo la ndoa lilivyotengenezwa linajitosheleza likifanyika katika agano la ndoa baina ya watu waliokusudiwa na Mungu kuwa pamoja plus kama asili ya viungo ilivyo. Hii mambo ya modern styles ni kwa sabbu ya utandawazi, namna ambavyo hizi mambo zimekuja zikatengeneza extreme desires tunazotaka ziwe met katika miili yetu.

Mleta mada kuna reply ukaandika kublow job kunaruhusiwa kisa mwanamke anatakiwa akusatisfy..lakin kwenye uzi umekataa wanaume kupiga deki. Sasa je: kama mwanaume amelala na A bila kupiga deki lakini kuna maradhi yako kwa A huko chini, afu akaja kulala na B na B hana magonjwa afu mwanaume akamforce B ablow job..fine B kwa sabbu ya utii kwako atafanya..ila ndo anakuwa amelipata Gono kwenye kinywa na God knows where else. Hapo je unaonaje? Kwaiyo wanawake ndo waumwe,wanaume hawatakiwi kuumwa?

Inshort kila jambo ambalo msingi wake si wa kiMungu basi ni batili, halina uwepo wa Mungu ndani yake, inshort ni laana. Wewe unakemea oral afu unachekelea uzinzi wonderful! Tunafukuza upepo vibaya mno. Anyways ni choice ya kila mtu kufanya aonalo vyema. Mwisho wa siku God is the only judge..pambanieni kombe.
 
Back
Top Bottom