cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo tutembee kwa ajili ya wanawake tu au sio mkuu, mbona tunasikia vipoch manyoya vyao vya baridi, tofauti na vya kina mwajuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo tutembee kwa ajili ya wanawake tu au sio mkuu, mbona tunasikia vipoch manyoya vyao vya baridi, tofauti na vya kina mwajuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nenda saudia kule vipo vya moto kama mkaa kule
poleAiseee
walio matured ndo wanajua hii kituDunia hii hao wanawake wana nini sasa cha maana ? Hata awe mzuri kama malaika usimpe umuhimu zaidi ya nafsi yako akileta mapichapicha kata mawasiliano na mazoea.
We jamaa ukumbukwe mileleDunia hii hao wanawake wana nini sasa cha maana ? Hata awe mzuri kama malaika usimpe umuhimu zaidi ya nafsi yako akileta mapichapicha kata mawasiliano na mazoea.
cyprus hipo katavi au ?Ndikumana alikuwa huko Cyprus akaja kumuoa Irene Uwoya hapa Bongo na kwao ni huko huko kwa hao Watutsi.
Ipo Simiyu.cyprus hipo katavi au ?
hii hapa au
The cold the long to reach on mountainKwahiyo tutembee kwa ajili ya wanawake tu au sio mkuu, mbona tunasikia vipoch manyoya vyao vya baridi, tofauti na vya kina mwajuma
Unawajua wajukuu wa king Menelik wewe ? watoto wa kihabesh pale Ethiopia?Wanawake wa Rwanda wanapaishwa sana, sipendi yale makomwe na ile miili mirefu.
Tanzania is where its at.
mtaji mzuri sana kwa ccmUnaweza kutobana ila future za kimaisha haaa ! Yani ukute huyu ndio kijana mnawaza aje kubadikisha Tanzania Ovyo kabisa