chundaji
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 491
- 337
miss chagga njooo uchukue trick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wewe mkuu utakuwa unamatatzo katika utongozaji wako jaribu kuchambua maneno yakoMi nahisi kama nina bahati mbaya mkuu kila ninaye =mgusa ndo hivyohivyo...yaani malengo yao ni pesa tu hawaangalii mbele ina maana ni peke yangu Tu!
Kula papuch tembeaHali imekuwa mbaya sana kwa sasa,kila unaemgusa Interview yake Pesa mapenzi baadae.
Ukizingatia na hali ya uchumi kwa sasa hawa watu nimegundua hawana huruma kabisaaa,eti kisa ni wazuri hivi kweli tumekosa mbinu mbadala ya kuanzisha mahusiano bila pesa kuwa kiingilio kama passport.
Hivi mwanamke mmepanga malengo mengi ya kimaendeleo na mnataka kufanya Ishu za maendeleo lakini yeye hatambui Hilo ni mizinga Tu sasa hizo pesa za kukamilisha hayo malengo mtaokota...wakuu makapuku wenzangu tushauriane hali ni mbaya sana...
Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa,kila unaemgusa Interview yake Pesa mapenzi baadae.
Ukizingatia na hali ya uchumi kwa sasa hawa watu nimegundua hawana huruma kabisaaa,eti kisa ni wazuri hivi kweli tumekosa mbinu mbadala ya kuanzisha mahusiano bila pesa kuwa kiingilio kama passport.
Hivi mwanamke mmepanga malengo mengi ya kimaendeleo na mnataka kufanya Ishu za maendeleo lakini yeye hatambui Hilo ni mizinga Tu sasa hizo pesa za kukamilisha hayo malengo mtaokota...wakuu makapuku wenzangu tushauriane hali ni mbaya sana...
NaamUkiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...
Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku