Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
upo sawa kabisa, na mwanaume kutumia nguvu nyingi sana hasa pesa kumfurahisa mwanamke ni kujiandaa kuvuna mabua...hapo kuna kua na kijibiashara flani hivi
 
We umekutana na wajasiria mwili huko unaanza kulialia binafsi sijawahi kuombwa hela na mwanamke tunaependana.
 
Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa,kila unaemgusa Interview yake Pesa mapenzi baadae. ukizingatia na hali ya uchumi kwa sasa hawa watu nimegundua hawana huruma kabisaaa,eti kisa ni wazuri hivi kweli tumekosa mbinu mbadala ya kuanzisha mahusiano bila pesa kuwa kiingilio kama passport. Hivi mwanamke mmepanga malengo mengi ya kimaendeleo na mnataka kufanya Ishu za maendeleo lakini yeye hatambui Hilo ni mizinga Tu sasa hizo pesa za kukamilisha hayo malengo mtaokota...wakuu makapuku wenzangu tushauriane hali ni mbaya sana...
Mchekeshaji Trevor Noah wa Afrika kusini alinukuliwa akisema "Remove Sex from the relationship, you will find that a woman has nothing to offer in that relationship"
Mengine tujiongeze wenyewe
 
The boss! Leo umefeli.Kumhudumia mwanamke wako Ni sawa Na chakula.Hapa hatuongelei pesa nyingi.Vile vitu vidogovidogo Na muhimu.Mfano kumpendezesha mpenzi wako...n.k.Au nyie tatizo lenu Ni lipi??? Maana sasa Ni shida.Mbona mnakimbilia Sijui kujenga Sijui future!! Salon , Nywele ya kusukia Na Future wapi Na wapi .Acheni hizo.Mwanamke Ni Pambo la nyumba.Ni jukumu lako kumpamba .Sema siku hizi mmevimba kichwa kwa kuwa Na sisi tunaingia fent font.Basi mnataka kwenda sawa.Sisi tubaki wenyewe, bakini wenyewe.Malalamiko yaishe.Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu yake Bali atatafuta njia ya kupanua wigo wake ama VP unamfungulia vyanzo vya mapato mpenzi.Sasa vyote hutoi.Unakuja kulialia Hapa.Aibu!!!!!

Jiongeze,tafuta pesa zako sio unategemea kuongwa na wanaume.
 
Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
sawa the boss
 
Back
Top Bottom