Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Una utani we mtoto, eti bonus!!! Seriously!! Sema ulikuwa umekunywa maji mengi siku ile ukavimbiwa.Hahaha mbona bonus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una utani we mtoto, eti bonus!!! Seriously!! Sema ulikuwa umekunywa maji mengi siku ile ukavimbiwa.Hahaha mbona bonus
Umeona eeeh!!! Hizo akili sio zangu kabisa lazima kuna namna imefanyika.Mh!, mtakuwa mnapumzika na shemeji anamalizia ma project yake na wewe ndo ukapata muda wa kushusha nondo. 🙂
Me si mfilipino, you know nini ni priority yangu afu ndo zije bonus sasa teh. Si unaona dinner za mvua na mishumaa zilivyonitekaUna utani we mtoto, eti bonus!!! Seriously!! Sema ulikuwa umekunywa maji mengi siku ile ukavimbiwa.
Mkuu hauko peke yako trust meMi nahisi kama nina bahati mbaya mkuu kila ninaye =mgusa ndo hivyohivyo...yaani malengo yao ni pesa tu hawaangalii mbele ina maana ni peke yangu Tu!
Yaani yule muhuni akakubeba kiulainiiiii, kweli sijui huo ujinga umerithi kwa nani!!!Me si mfilipino, you know nini ni priority yangu afu ndo zije bonus sasa teh. Si unaona dinner za mvua na mishumaa zilivyoniteka
Yaani yule muhuni akakubeba kiulainiiiii, kweli sijui huo ujinga umerithi kwa nani!!!
Ningependa utoe neno mkuu smart911Sina maneno mengi kwenye hili mahondaw wangu...
Ngoja nifuatilie vizuri upande wa baba yako.Haha aliyenirithisha, basi tu
Hahaha ni huko huko aiseeNgoja nifuatilie vizuri upande wa baba yako.
Mkuu me ndo nipo gym wiki ya 2 now c unajua tenaDawa nzuri ya kuepuka mizinga kama wewe ni mbahili bora utafute sugar mumy otherwise uwe tayari kula vibovu,
hahahahah nimefurahi sanaMkuu mizinga haikwepeki!!
Mi naonaga bora hawa wanaomba hela za kusukia na madera.... Elfu 50 50 sio mbaya
Kutana na hivi vi high class vina mishahara yao, hawakupigi mizinga ya kifala, k utapewa sana ila subiri siku anakuambia "baby niongezee milioni mbili kuna kiwanja nikichukue"
Manina, ndo akili itakukaa sawa
Umeona eeeh!!! Hizo akili sio zangu kabisa lazima kuna namna imefanyika.
mama la mama-mfilipinoMe si mfilipino, you know nini ni priority yangu afu ndo zije bonus sasa teh. Si unaona dinner za mvua na mishumaa zilivyoniteka
Anza kuishi kisungura. Ukizubaa tu keshaomba laki 3. Hapo kukwepa inakuwa too lateVery simple tu ukiona tu ana anza kukwita baby sijui I love you cjui nikwambie kitu cjui nataka nije kwako kuna kitu nataka tuongee hapo kaa macho weka mbali na watoto