Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Mapenzi pesa mkuu ...ukiwa nazo Aaaah utawachambua kama karanga ...
 
Kuuchuna ndio dawa yaani simu au msg unachubua tu kimya no kujibu
 
Mpwa huwa anajitutumua kuandika hahaha.

Nimepitia uzi nikawa nasoma I'd na comments. Sasa comments yako nimerudia mara tatu sio kusoma comments ila ID Hahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahaaaaaa!!! Senzi wewe!

Ukahisi id zinafanana nini!!!
 
Wanawake watu wa hovyo, nilishakuwaga na mmoja yan salary yangu laki mbili kwa mwezi na anajua kabisa,Mimi nikawa nampa elfu 50 kila mwezi lakini hakuwa na shukurani,kwa kweli iliniumaga sana.
 
Mkuu mizinga haikwepeki!!

Mi naonaga bora hawa wanaomba hela za kusukia na madera.... Elfu 50 50 sio mbaya

Kutana na hivi vi high class vina mishahara yao, hawakupigi mizinga ya kifala, k utapewa sana ila subiri siku anakuambia "baby niongezee milioni mbili kuna kiwanja nikichukue"

Manina,
ndo akili itakukaa sawa
Mkuu hao sio wa kuwaingilia gia ya kipedeshee ....kimariooo zaidi kama avator yako inavyosema.
 
Singles tunaishi kwa raha kweli.
Kuna jamaa angu aliniambia wanawake wanarudisha nyuma maendeleo ya mwanaume.
N.B alizungumzia wanawake hawa wa kuanzisha mahusiano unapokutana nae sio mke.
Ham zako je zinaishia wapi au chaputa member ??
 
Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku



Hiyo kweli kabisa kabisa
 
Very simple tu ukiona tu ana anza kukwita baby sijui I love you cjui nikwambie kitu cjui nataka nije kwako kuna kitu nataka tuongee hapo kaa macho weka mbali na watoto


hahaha.. yani kama wanaambiana kutumia hiyo kauli
 
Back
Top Bottom