Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sijaamka ujue!!Mmmh huo upande ulioamkia leo......
The boss! Leo umefeli.Kumhudumia mwanamke wako Ni sawa Na chakula.Hapa hatuongelei pesa nyingi.Vile vitu vidogovidogo Na muhimu.Mfano kumpendezesha mpenzi wako...n.k.Au nyie tatizo lenu Ni lipi??? Maana sasa Ni shida.Mbona mnakimbilia Sijui kujenga Sijui future!! Salon , Nywele ya kusukia Na Future wapi Na wapi .Acheni hizo.Mwanamke Ni Pambo la nyumba.Ni jukumu lako kumpamba .Sema siku hizi mmevimba kichwa kwa kuwa Na sisi tunaingia fent font.Basi mnataka kwenda sawa.Sisi tubaki wenyewe, bakini wenyewe.Malalamiko yaishe.Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu yake Bali atatafuta njia ya kupanua wigo wake ama VP unamfungulia vyanzo vya mapato mpenzi.Sasa vyote hutoi.Unakuja kulialia Hapa.Aibu!!!!!
Dear Espy.Ukiona mtu analalamika na kudai haumuonei huruma it means unamkamua zaidi ya uwezo wake.
Yes ni jukumu lao kutuhudumia, lkn isiwe nje ya uwezo wake!! Una mahitaji yako na majukumu yako so he has his too. Ana ndoto zake za kutimiza pia, sasa kama hauzijali ndoto zake it means hauna mpango wa kuziishi hizo ndoto zake, na kwa maana nyingine hakuna upendo hapo..
Mwanaume unaempenda utataka kuona ana endelea zaidi, kwahiyo badala ya kumchuna tu utakuwa pia na mawazo ya kumsaidia kuongeza kipato, maana akipata it means umepata pia.
Kumbuka si kuwa kwakuwa wao ni wanaume basi pesa wanapata kirahisi tu.
Sijui mekula maharage ya wapi leo mimi.
Cc Nalendwa Heaven Sent
Yapi ndugu yangu[emoji126] [emoji126]Una matatizo ww sio bure[emoji12]
Na mwanamke wa kweli anashindwa kila kitu, kazi yake kuomba omba tu,, ama umemaanisha vingine? Una ndoto ya gari ila ili ndoto yako itimie lazima nikununulie mimi,, maana yake unanihitaji zaidi!! Sijui nani amewaloga!!Huna hadhi ya kuitwa mwanaume.,.bado ni mvulana mwanaume halalamiki hashindwi na kitu sasa wewe mwanaume wa wapi)
Aaah hiyo hata mimi siiungi mkono. Ninayoongelea ni ile ya tit for tat bila huruma.Dear Espy.
Sio kwamba uliyoandika hatuyajui.Tunayajua Na wkt mwingine tunasaidia kutoa mawazo.Wala hatupo huko. imagine.Mwanamke ana kipato kidogo kulinganisha Na mwenzake.Sawa wote tunamahitaji.Na kama ulivyokubali wanapaswa kusaidia.Ukiona mwanadada ana omba Elfu 30 ya kusukia Nywele anazokaa nazo mwezi kichwani.Huko kumchuna Kuna tokea wapi.Mimi ninawajua Watu.Ana mpenzi bingwa wa kuweka Heshima Bar Lakini anaishiwa Hata pesa ya kununua luku.Na mpaka MTU unamuomba Tayari Unamjua mwenzako kipato chake.Hivi unaweza kumwomba Maiti Damu??Halafu ilivyo wadada wengi Wakipata kipato Ni wazuri wa kutoa.Hawaji kulalamika.Ila kwa kuwa Hata Biblia imeandikwa Mwanamke Ni Pambo. Sisi kulalamika Ni Sawa.Wasikwepe majukumu madogomadogo hasa Yale yaliyo ndani ya uwezo wao.
kwi kwi kwi kwi...hahahahahaha...hii imenikuta sana...yaani unaona kimondo kinakujaVery simple tu ukiona tu ana anza kukwita baby sijui I love you cjui nikwambie kitu cjui nataka nije kwako kuna kitu nataka tuongee hapo kaa macho weka mbali na watoto
Hali imekuwa mbaya sana kwa sasa,kila unaemgusa Interview yake Pesa mapenzi baadae. ukizingatia na hali ya uchumi kwa sasa hawa watu nimegundua hawana huruma kabisaaa,eti kisa ni wazuri hivi kweli tumekosa mbinu mbadala ya kuanzisha mahusiano bila pesa kuwa kiingilio kama passport. Hivi mwanamke mmepanga malengo mengi ya kimaendeleo na mnataka kufanya Ishu za maendeleo lakini yeye hatambui Hilo ni mizinga Tu sasa hizo pesa za kukamilisha hayo malengo mtaokota...wakuu makapuku wenzangu tushauriane hali ni mbaya sana...
Lakini raha si mnapata wote?No mzinga no mbunye..heh unataka tuchakae lazima tujirepee hizo vagina zisishrink mapema
Bro samahani unaongelea wanawake wa kwenye tamthilia au hawa wa kibongo?Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...
Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku