Wanaume wenzangu! Tupeane mautundu ya kukwepa Mizinga....

Mi nahisi kama nina bahati mbaya mkuu kila ninaye =mgusa ndo hivyohivyo...yaani malengo yao ni pesa tu hawaangalii mbele ina maana ni peke yangu Tu!
Basi wewe mkuu utakuwa unamatatzo katika utongozaji wako jaribu kuchambua maneno yako
 
Kula papuch tembea
mzee ndo dawa yao
 
 
Ukiona mwanamke hakuhurumii wala kukuelewa ujue hauko moyoni mwake..
bora umwambie ukweli huna aamue kubaki au aende...

Mwanamke akikupenda kweli ataogopa kukupoteza
sio wewe uogope kumpoteza kisa humpi hela kila siku
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…