Wanaume wenzangu tupunguze Chips-Viazi, tutafedheheka !

hebu wapumzisheni wanaume zetu jamani
mmewakaa sana kooni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#nanikamameanaumewaDar[emoji7][emoji177][emoji177][emoji177]
 
Dar raha sana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mume wa Dar.... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87]
 
Hawa chamajaa wanachekeshe Sana .
kure kwetu Ni Ukali mkubywa kichure na kibhato.
 
Nashukuru kwa kufikisha ujumbe kwa wanaume wa Dar...
 
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Attachments

  • 1465124192181.jpg
    35.8 KB · Views: 52
Naomba kucheka kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na ngumi? Jipangeni aisee.....watu wanahamasishana kula ugali wa dona,ugali wa muhogo...nyie mnatuletea vituko gani? Kuweni sirias aisee mnatutia aibu. Huku kwetu Chuga chips mayai inatumika kama mboga wakati wa kula dona. [emoji51][emoji51][emoji51]nyie mnakula na mnalalia! Halafu baada ya miaka mnaanza kukimbilia kwa DR. MWAKA. Jaman acheni hizi aibu.
 
Dodoma na Mbeya nako ni Dar..??
 
Wanasema usile pilau kwasababu wao hawapendi njaa ikiingia wao wanakula wanachopenda
 
Wanaume wa mbeya tunakula vizuri sana, kitimoto, ndizi na maparachichi, unachagua bonzo lako moja na ndizi za kuchoma tatu na parachichi
 
Jibu swali, Dodoma hiyo kitu imefanyika na Mbeya nako imefanyika, why uongelee Dar pekee..?? Halafu unaulizwa maswali hujibu..
dar ndio source ya iyo so dar ndo muhusika mkubwa .
 
Sabab kubwa ya nguvu ya kiume kupungua ni Mastabeshen ama punyeto. Pia kwa wanawake ni fingering inawafanya wasipende sana kugegedwa ham inspungua utafit imebain. Sabab nyingine ni stress au msongo psychology. Kwa upande wa chakula ni asilimia ndogo sana inayopunguza nguvu ya kiume.

Viagra ilivuna sana mabilion ya dollars kabla dawa zingine azijaingia sokon kwa ushindan. Kwa kila sekunde wanaume kumi waliitumia maamae. Mliozoea punyeto jaribun kuacha kama wiki halaf uone mchezo wake. Kwa iyo piga menyu tuu kama kawa na bangi na mazoez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…