Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana na wewe ni muhanga unayekabiliwa na ukosefu wa nguvu za kiume kama hao wenzako![]()
Mtu akipata jina Dar akienda mkoa wowote anakuwa superstar
Dodoma na Mbeya nako ni Dar..??Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na ngumi? Jipangeni aisee.....watu wanahamasishana kula ugali wa dona,ugali wa muhogo...nyie mnatuletea vituko gani? Kuweni sirias aisee mnatutia aibu. Huku kwetu Chuga chips mayai inatumika kama mboga wakati wa kula dona. [emoji51][emoji51][emoji51]nyie mnakula na mnalalia! Halafu baada ya miaka mnaanza kukimbilia kwa DR. MWAKA. Jaman acheni hizi aibu.
notDodoma na Mbeya nako ni Dar..??
Jibu swali, Dodoma hiyo kitu imefanyika na Mbeya nako imefanyika, why uongelee Dar pekee..?? Halafu unaulizwa maswali hujibu..not
au we muandaaji?unalinda ugali
kweli nduguWanaume wa mbeya tunakula vizuri sana, kitimoto, ndizi na maparachichi, unachagua bonzo lako moja na ndizi za kuchoma tatu na parachichi
dar ndio source ya iyo so dar ndo muhusika mkubwa .Jibu swali, Dodoma hiyo kitu imefanyika na Mbeya nako imefanyika, why uongelee Dar pekee..?? Halafu unaulizwa maswali hujibu..