Wanaume wenzangu tupunguze Chips-Viazi, tutafedheheka !

Sasa tofautisha wazungu na waafrika kiafya na kiakili ndo utajua kama kuna shida au vepee
kwahiyo we ndo wale ambao huwa mnahisi ngozi nyeupe imewazidi kiakili...dah braza kumbe hata ushoga ukiletwa mjini huchelewi jaribu..be exposed zunguka or otherwise soma soma article basi ufunguke upeo
 
Kila mtu ale atakacho suala LA kufuatiliana unakula nini sijui ule nini wewe si daktari wake
 
Kwa hiyo mkuu utaniambia hata nyama au samaki wa kukaangwa ni wabaya kiafya, sawa. lakini kwa nini wala chips pekee ndo wapigiwe kelele?
kwasababu mmeandaa tamasha kubwa hadi watu hawakwenda shangilia taifa star kushangilia vyakula ambavyo vinatuumiza kiafya in long run...hivi kwanini madaktari wa magonjwa ya afya ya kizazi wanapiga sana ela siku hizi
 
Kila mtu ale atakacho suala LA kufuatiliana unakula nini sijui ule nini wewe si daktari wake
hata uganda hapo jamaa wanammind museveni kwa kukataza ushoga kwa hizo hizo mentality
 
kwahiyo we ndo wale ambao huwa mnahisi ngozi nyeupe imewazidi kiakili...dah braza kumbe hata ushoga ukiletwa mjini huchelewi jaribu..be exposed zunguka or otherwise soma soma article basi ufunguke upeo
Sio kila kitu kinafaa kuigwa issue hapa ni chipsi yai tunataka mtuambie kula chipsi ya kuna tatizo gani ni viazi tu vimekaangwa kwan viazi vitamu navyo vikikaangwa vinamadha kadhalika mihogo ya dr
 
we si ulikula ugali na sijui bamia au maharage ukaenda kushangilia taifa staz... meanwhile sisi tulikuwa leaders tukisherehekea tamasha la chips na wake zenu

na kwa vile chips zimeshatumaliza nguvu, tuliishia kuwashikashika tu
 
hata uganda hapo jamaa wanammind museveni kwa kukataza ushoga kwa hizo hizo mentality
Unataka kusema walaji wa chips mayai wana elements za ushoga? [emoji15] [emoji15]
 
we si ulikula ugali na sijui bamia au maharage ukaenda kushangilia taifa staz... meanwhile sisi tulikuwa leaders tukisherehekea tamasha la chips na wake zenu

na kwa vile chips zimeshatumaliza nguvu, tuliishia kuwashikashika tu
[emoji15] [emoji15]
 
Unataka kusema walaji wa chips mayai wana elements za ushoga? [emoji15] [emoji15]
ah ah mentality za kusema kwa kua wazungu wanafanya basi poa tuπŸ™„πŸ™„πŸ™„...kwan brother pale kinondoni wale jamaa wanapendelea ugali dona na maharage eti eehπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Mimi nakula Chips pamoja na Familiar yangu Huwa nanunua Pale Buguruni Mayai ya Kuku wa Kienyeji Kisha Mama yenu Mdogo/Mke wangu anapika ninakimbia Kilometer 13 Kila Siku na hata kama nimebanwa huwa nakimbia mara 3 kwa wiki sijawahi Ku notice matatizo ya Chips

Mchawi wa Wabongo ni Mazoezi tuu! hakuna Chakula kibaya hata kula nyama milo yote kila siku ni hatari kuliko Chips lakini sijaona mtu anazungumza Kimsingi Jenga Mazoea ya Kufanya mazoezi najua mwanzoni yanaboa ila ukizoea utakua bora kabisa na acheni kusingizia mambo ya Chips ukipiga mazoezi hizo mafuta yatakaa wapi Sina hata Kitambi na na enjoy life na Chips nakula tatizo ni Jinsi ya Kuvitoa nje Badilisha living style yako utaona.
 
Wauluze clouds fm
 
Comment kama hii inaonesha upeo wako.
 
Ugali na viazi[chips] vyote ni wanga.....sasa nini kinachofanya uone ugali ndio sawa na chips si sawa?! Ugali unalika sana huku kusini mwa jangwa la sahara kama unaleta sana nguvu mbona hatuoni mabingwa wa michezo ambayo inatumia nguvu wakitoka kipande hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…