Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

Namshangaa kama huyu wangu yuko intern miezi sita sasa ila kashamiliki macho matatu Pro.. ya 2022.. Na mimi na kinote 9 changu hapa
 
Demu anauma tena usiombe amchukue siku unakutana na demu wako ana mimba utajamba cheche ya msela hapo sijataja mke maana mke lazima mtu afe kwa namna yeyote ile
 
Ni wapi huko walikojiua, maana wengine ndo tunatimba town mida hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…