Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

Wanaume wenzetu, haya mapenzi huwa mnanunua wapi?

Ukikua utajua kinachofanya watu wawe hvyo
Yaani mwanamke umgharamikie kila kitu halafu uje umkute jamaa yupo kifuani umchekee.
 
Ukikua utajua kinachofanya watu wawe hvyo
Yaani mwanamke umgharamikie kila kitu halafu uje umkute jamaa yupo kifuani umchekee.
Kwa Hiyo Ukishaua ukaenda Jela ndio Maumivu yatakwisha Au! Zinduka best Maisha sio Mbususu Tu
 
.Mtu Akifumania anaua
.Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga
.Mwingine nae wivu tu kameza madonge.
.Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake.
Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu kabisa inajitamba mjini huku In Phd.
Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni uvivu Tongozeni jamani mpate wachumba muoe.
Kupenda kupitiliza
 
Mkishajiua au kwenda Jela,Mngejua Pisi Zenu Zinavyoongea huku Duniani Mngeacha huo Upuuzi...Kuna Pisi Iliwahi kumwambia Bwana ake mpya" Bwege lile Lingejua Lingekufa mara mbili"
 
Omba yasikukute.

Imani,
Upendo,
Pesa,

Hivi vitu vinanguvu kuliko uwezo wa kifikiri wa mwanadamu.
 
Omba yasikukute.

Imani,
Upendo,
Pesa,

Hivi vitu vinanguvu kuliko uwezo wa kifikiri wa mwanadamu.
Upendo Ondoa hapo! Udhaifu, woga na Ulimbukeni ndio unaleta Upendo
 
Hivi hata zile Pisi za Tik tok huwa hamzioni jamani,Acheni uvivu Tongozeni jamani mpate wachumba muoe.

Ushauri ni mzuri,, ila usiwaambie waoe..

Nini hasa watapata wakioa
 
Back
Top Bottom