Sisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!
Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi
Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?
Nishaombwa na wanawake kibao wanizalie mtoto eti wanataka kuchanganya damu.
Kila mahali ukienda au ukifanya jambo hata ukikosea unaonekana innocent usiye na kosa kwasababu muonekano unakuonyesha upo na uhb na vile mi mweupe daaaah
Hivi ni mimi tu au na wanawaume ambao ni weupe na handsome nao wanakumbana na hii hali ya kutongozwa na kupendwa na wanawake?
Nikimtongozaga mwanamke huwa hachomoi kabisa.