Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni hayo tu

Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]

Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
inaonesha jamaa kapiga kazi
 
Tatizo warefu wengi hawajitambui

Hilo kweli

Kama huyu hajielewi nimeshamwambia nina mtu wangu tumetengana kwasababu kadhaa Et hataki niwasiliane nae na mtu tuna watoto wawili tunapoishi kajenga baba watoto, anataka muda wote tuwe tunawasiliana kila napoenda nachofanya nimwambie wakati m sina malengo nae
 
Wewe utarudi kwa huyo baba watoto wako sababu ya njaa lakini si sababu ya kumpenda.

Wewe ni tegemezi.

Bana watoto wako atakuwa na hela .

Pengine ulipokuwa kwake ulikuwa unabadilisha vitoweo sasa kila kukicha mnabandika maharagwe jikoni utaacha kufikiria kurudi ulikotoka?

Njaa mbaya inamfanya mtu anashindwa kufanya maamuzi sahihi kabisa

Walaa kila mtu na biashara zake nimekuwa nae muda mrefu nimemzoea sana na licha ya mazoea ndio mwanaume ninayempenda nilijaribu kusema nisirudiane nae lakini no way siwezi nasubiria on his birthday nimpe maua yake na yeye
 
Chai
Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni hayo tu

Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]

Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Chai
 
Kweli kabisa kuna wanaume wanajua bwanaaa alafu wa motroooo jeusi lirefu linasauti zito anakut*** huku anakuongelesha na sauti lake zito weeee
Hapa tunashare interest. mm sijawahi kuwaelewa ke weupe. naonaga kama joto lao liko mbali sana. tufike pahala weuc kwa weuc ndo waoane aicee. sa ukute ke mweuc hlf kibonge wana joto hawa watu si la nchi hii hao😁😁

----weupe wakamatwe washtakiwe---
 
Ndio maana mnashauriwa Kabla ya kuingia ndoani muwe mmeupiga mwingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe uliruka stage maana unazuzuka na vitu vidogo Sana.

Hahaha ni kweli maana hiyo miaka yote nimekua nakula ya baba watoto tu’ huyu mkaka mweusi at first sight nilimdharau kiukweli ila nilivyokutanisha nae nyama to nyama mmmmhhh mmmhhh ni mtamu bwanaaaa[emoji108]
 
Back
Top Bottom