Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ni hayo tu


Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]


Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Kwa hiyo mimi mwenye futi sita unusu ndiyo umenitenga kunisifu?Poa tu.Ntapata andunje mwenzangu na tutatembea tumeshikana mikono kwa kudeka.
 
Nina maua yako, mwanamke yeyote anaejielewa physical appearance sio preference yake kwa mwanaume sijui ana ndeve, mrefu, sijui mfupi, mweusi, mweupe etc hayo mambo ya watoto wa sekondari.
Kabisaaa, Mwanaume Kuna vigezo tofauti kabisa na mambo ya physical appearance.......mambo ya urefu sijui ufupi atajua mwenyewe
 
Eti Pisi kali.[emoji57]
Toka lini pisi kali ikawa na mkia katikati ya miguu.
Muogope Mungu we mbaba

Mbona umepaniki sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa basi m mwanaume nimekuja kuwasifia wanaume warefu Weusi… haya endelea kutekeseka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Umekomaa kutype nyoooo


Hivi nyie mnaosema m mwanaume mnajielewa kweli?? Nataka kumtapeli Nani? Na kwa kipi? Sihitaji mwanaume wala mwanamke Sasa natapeli nn? Kichwa maji wewe nitolee ushubwada wako hapo
 
Asante sn, bila Shaka ni ww niliyekuletea uzi humu kwamba hizi sifa mnazotupaga wtk wa minyanduano Ni za kweli au mnatuzuga tu.

Sasa nimeamini ni sifa za kweli[emoji848][emoji123]

Kweli kabisa kuna wanaume wanajua bwanaaa alafu wa motroooo jeusi lirefu linasauti zito anakut*** huku anakuongelesha na sauti lake zito weeee
 
Back
Top Bottom