Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu



ACHA mshkaji wangu upendezi mtoto wa kiume mambo unayofanya
 
Jf mnashangaza sana mtafikiri nyinyi ni wasafi kiasi hicho

Kuwa na mwanaume mmoja ni umalaya??? Tumetengana miezi kadhaa sasa, ningekaa hivi hivi?? Kuwa na mtu mwingine ni kutunza afya ya akili haswa mambo mengi mkiwa mnaendana
Mmh! Wewe ni mama wa wawili? Kweli pisi kali kichwani huwa sifuri, nimeamini.
 
Mi nilofunga PM na wewe uloacha PM yako wazi unadhan nani ana njaa ndogo ndogo.

Wamekuja wangapi pm kwako leo?

Una njaa ndio maana unafikiria mambo ya nauli[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuacha pm wazi si maamuzi ya mtu unanipangia Kama we nani labda??
 
Shida Kwa mwenzetu ilianzia hapa chini

Nanukuu




Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe inakula sana,

Vipi vits/ist/ kigari kidogo tu[emoji87]

Kwa dar, japo kwasasa tupo mkoani soon tunarudi.


Kuna baadhi ya wenzetu ukiwanunulia gali basi taraji kuombwa talaka soon
 

Gari ninazo mbili hadi sasa


Sina tatizo nae ndio mtu wangu na nampenda[emoji3059][emoji3059]
 
Sijui kama una haki kumpiga mawe mwanamke mwenzio kiasi hiki.

Hii ni jf, hata wewe kuna watu walikuchukulia sana tu.
Ufike wakati tuheshimiane wakuu

Na ukute yeye ndio dume[emoji57][emoji57] Ana kazi ya kuwaomba watu nauli njaa zake anataka kujifananisha na mm
 

[emoji2222][emoji2222] napenda mimi watu wakipeana madongo!! Seat ya katikati mbele sitaki lolote linaweza kutokea
 

[emoji1635] Hapo chacha
 
Good, sasa nakushauri kitu my dear. Kwa ajili ya watoto basi urudi Kwa mumeo.

Ushaur tu lakini kma kweli bado unampenda. Usiweke mashindano nae kua yy ndio akuombe urudi

Siweki mashindano nae na sikuwahi kudhania ipo siku nitakua na mwanaume mwingine tofauti na yeye imetokea unfortunately’ nasubiria kwenye his birthday nimsurprise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…