Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Uduguu ulikuwa wapi jomoooni! Unakosa vichambo huku [emoji2222]nani kakuficha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu vichambo vilikua tangu asubuhi, nikaamua kusepaa zangu, sasa naona huku nyuma ndo moto uliwakaa vilivyo.

Ila JF daah. Kazii ipoo
 
Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ni hayo tu


Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]


Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Sisi ambao weusi lkn vijeba,hutupatii hata kaua kamoja?[emoji41][emoji41][emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu vichambo vilikua tangu asubuhi, nikaamua kusepaa zangu, sasa naona huku nyuma ndo moto uliwakaa vilivyo.

Ila JF daah. Kazii ipoo

Hata kunitag uduguu jomooni [emoji18] mimi nitapingua urafiki [emoji23]
 
Hata kunitag uduguu jomooni [emoji18] mimi nitapingua urafiki [emoji23]
Mbna mume wako country alikuwa muda ulee, wee ulikwamaa wapiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapinguaje urafiki? Bila mie utatambaa humu sasa??kaa kwa nywilaa
 
Nimekuwa teja uduguu umeniharibu na hawa viumbe wazito wa jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina heka heka udugu, hata Twitter haifikii, mello kainyima space na voice notes, mbna pangekua panawaka humu.
 
Back
Top Bottom