Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Mbna mume wako country alikuwa muda ulee, wee ulikwamaa wapiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapinguaje urafiki? Bila mie utatambaa humu sasa??kaa kwa nywilaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uduguu hadi wewe?? Kantri kawa mume wangu tena [emoji1787][emoji1787]
Yule ana mademu zake humu, mimi adui yake! Labda uduguu unitafutie mume wewe

Jeuri naikuta wapi uduguu kupingua urafiki na Wewe sasa [emoji2222]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ina heka heka udugu, hata Twitter haifikii, mello kainyima space na voice notes, mbna pangekua panawaka humu.

Itabidi atuwekee tupate burudani mubashara [emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uduguu hadi wewe?? Kantri kawa mume wangu tena [emoji1787][emoji1787]
Yule ana mademu zake humu, mimi adui yake! Labda uduguu unitafutie mume wewe

Jeuri naikuta wapi uduguu kupingua urafiki na Wewe sasa [emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa yeye ndo anakuajee adui na wee? Hebu mfanye awe rafikiii.

Mie nawee milele, heka heka nshakurithishaaa.
 
Kantri anatuchukia balaa si unakumbuka alivyotuchamba kwenye ile bday wishes ya Antonia[emoji1787][emoji1787]

Na ss hivi ananiharibia kabisa nikose mume humu jf
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan afanye kuweka, ngoja niongee na shem wako m1 ni modes, amshawishi mello aweke hivyooo.

Wee sema kweli?! Kumbe nina shem mode na husemi uduguu?!! [emoji2222][emoji2222][emoji2222] full kujiachia mwambie afanye mambo [emoji8] nimchambe Kantri live
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee subiri soon kila kitu kitakua poaa.
 
Kantri anatuchukia balaa si unakumbuka alivyotuchamba kwenye ile bday wishes ya Antonia[emoji1787][emoji1787]

Na ss hivi ananiharibia kabisa nikose mume humu jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie siku hizi ananiogopaaa, hanijii kizembee, ntamfurushaa tena ajuteee.
 
Back
Top Bottom