Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Jf mnashangaza sana mtafikiri nyinyi ni wasafi kiasi hicho

Kuwa na mwanaume mmoja ni umalaya??? Tumetengana miezi kadhaa sasa, ningekaa hivi hivi?? Kuwa na mtu mwingine ni kutunza afya ya akili haswa mambo mengi mkiwa mnaendana
Wapange tu mkuu, hata ukiwa nao kumi nisawa tu maana nyabe ni mali yako binafsi na ikiumia sehem zake pia tuletee uzi tuku nyambe....🤥
 
Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ni hayo tu


Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]


Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Nonsense.
 
Back
Top Bottom