knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,234
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niendelee kuangalia UEFA mi huku siko [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapange tu mkuu, hata ukiwa nao kumi nisawa tu maana nyabe ni mali yako binafsi na ikiumia sehem zake pia tuletee uzi tuku nyambe....🤥Jf mnashangaza sana mtafikiri nyinyi ni wasafi kiasi hicho
Kuwa na mwanaume mmoja ni umalaya??? Tumetengana miezi kadhaa sasa, ningekaa hivi hivi?? Kuwa na mtu mwingine ni kutunza afya ya akili haswa mambo mengi mkiwa mnaendana
Nonsense.Hey hey jf members
Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX
Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hayo tu
Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]
Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Babe twende tukalale.Ati mmetengana kwa sababu gani? Na wewe hapo unafanya nini na hiyo black man yako?
Mbona kazi tunayo!!
Nishatangulia kwa bed mama!!Babe twende tukalale.
Haya maswali yako ,😅😅😅yantoa jashoSo umalaya wake umesababisha wewe kuwa malaya?
Uhuni wangu ni nini? Kuwasifia wanaume weusi
Hicho ulichofanya ni sawa? Si una mume wewe na umeenda kutest nje?Uhuni wangu ni nini? Kuwasifia wanaume weusi
we dada muhuni sana😂 utengweAfu wanakuaga na dick zimepinda flani hivi
Ama bado hamjafika chumbani?