Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Nakazia tenanakazia.... atalizwa mtu humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia tenanakazia.... atalizwa mtu humu
Kwani nani kazungumzia habari zako?We mi ni mama tena wa watoto wawili my dia
si umesema sio malaya.... mbona uanjing'ata aisee, au ni black d*ck inakuchanganyaTumetengana kwa sababu ya umalaya wake, ndio bado nampenda tena sana tu tatizo letu ni hilo tu tumepeana space kwa muda
kwa hiyo umekuja kutangazia umalaya wako huku.. haya niambie sh ngap K unauza?Hey hey jf members
Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX
Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hayo tu
Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]
Mtapewa na Waarabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So umalaya wake umesababisha wewe kuwa malaya?Yeye ndio kasababisha mm kuwa na huyu na mtu
Mmetengana kwa umalaya wake,ila na wewe hapa umefungua thd ili kujisifia umalaya wako,Tumetengana kwa sababu ya umalaya wake, ndio bado nampenda tena sana tu tatizo letu ni hilo tu tumepeana space kwa muda
So umalaya wake umesababisha wewe kuwa malaya?
🤣🤣🤣🤣🤭Mmetengana kwa umalaya wake,ila na wewe hapa umefungua thd ili kujisifia umalaya wako,
Hivi wewe kichwani ni mzima kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Another kidney ina da hauzzzzzz!!!
Saw mkuu, nisamehe sana.Jf mnashangaza sana mtafikiri nyinyi ni wasafi kiasi hicho
Kuwa na mwanaume mmoja ni umalaya??? Tumetengana miezi kadhaa sasa, ningekaa hivi hivi?? Kuwa na mtu mwingine ni kutunza afya ya akili haswa mambo mengi mkiwa mnaendana
Mzungu unapokeaje maua ya watu weusi tena?😀Tumeyapokea, ukiumizwa tena na Baba watoto ututafute, We are Open 24/7[emoji16]