Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

Kama hutuogopo huwaheshimu wanaume basi mogope Mungu.

Cheating sio nzuri maana kinachofuatwa ni kilekile-nimeprove.
 
Huyu ana matatizo kama siyo depression. Katika maisha haya ambayo mtu hawezi hata kujua lililopo ndani ya nafsi ya wenzako usijaribu ku-generalize mambo hata siku moja . Sikudanganyi dada yangu yapo ambayo upo sahihi ila MKE AU MME KUWA MALAYA ZIPO SABABU NYINGI SANA ZINACHANGIA NA ZINAANZIA KWENU WAHUSIKA
 
kwa hiyo hata nyie ni malaya kama akija handsome unamkubali ila akiwa frafroza ndo unagoma.

hakuna cha frafoza the matter is money kwa dunia ya sasa hakuna mwanamke atakaemkataa mwanaume mwenye hela atakama atakua mbaya kiasi gani
 

so kuwa handsome ndo kuwa malaya!! ,i got two words for u **** YOU!
 

kama imepitia tbs vile...ulifanya ka risechi nini? nimeipenda
 
sasa inabidi sisi wanaume tutulie cheki kadada kawatu kamepigwa kibuti hadi akawa chronic akamua kuanzisha thread kama hii, Duh pole sana.
 
duh kuna ka ukweli, ila tusiridhike na hili kabisa
 
Naunga mkono hoja japokuwa hujatoa chanzo cha utafiti wako.Sababu zimejitosheleza
 
tuassume wanaume wote humu ndani ya JF wamekubaliana na wewe.
Sasa swali ni kua hao malaya wa kiume humalayika na nani kama sio wanawake??
mfano mi juma nakuchapa we leo, kesho mwingine, keshokutwa mwingine halaf leo hii yule nitaemchapa kesho
anachapwa na hamisi, halaf yule nitaemchapa keshokutwa leo nachapwa na bakari, halaf bakari kesho atamchapa
yule anaechapwa na hamisi leo n.k hapa malaya ni wanaume tuu??
 

Good one!
 
Of coz kuna kaukweli fulani hapa. Kama isingekuwa moral issues basi kwa hakika wanaume karibia wote wangependa kuwa na wanawake hata laki kila mmoja. Kinachotuzuia wengi wetu especially mimi ni moral standards nilizonazo tu. Ni kama vile watu wengi ambao ni wachamungu wenye kufuatilia dini, Sio kwamba wanapenda sana bali ni ile imani yao tu na kama Sir God akiwaambia jamani eeh mko huru fanyeni mtakavyo ninadhani dunia nzima inaweza kujikuta na wachamungu labda wawili tu lol
 
Hivi hii kanuni hapo juu unaweza kui-prove vipi??
 
hiii yamoto kwangu ,
ila na nyie wanawake mko wengi sana . kama wanaume tukiwa wachoyo wengine hawatapata haki yao ya kimsingi.
napita jamani
 
wadada wasio na self respect na low self esteem ndio watakubali kuishi na mwanaume ambaye amecheat kisa hawawezi kupata mwanaume ambaye hacheat.....wanaume waaaminifu wapo kiba, akicheat muache ukimpata mwingine akicheat muache mpaka umpate ambaye hacheat believe me wapo.....
 
we vip una nisema mimi au? si utaje kilicho kukuta....coz unayosema kama ukweli hiiv....
 
yaani wanaume ni wabaya wabaya wabaya
waongo
matapeli
wanafiki
washamba
malaya
mashetani
viruka njia
makupe
;
;
'
evil creatures
tunakaa nao basi tu
UMEKOSEA KABISA,WANAUME HATUKO HIVYO,INGEKUWA TEST NINGEKUPA 0%, BADO UNASAFARI NDEFU YA KUTUJUA,: WANAUME TUNA:
1.KANUNI ZETU,
2.TARATIBU ZETU ,
3. ACTIONS NA HISIA ZETU.
4. HATUNA FOMULA MAALUM YA KUMHANDLE MWANAMKE.
Hutakaa utuelewe kwa vile wewe ni mwanamke na umeshaumizwa(pole)
Ukitujia vizuri sisi ni watu wema sana.......... Lakini ukija kiajabu ajabu, ni lazima utasema unayoyasema.
NAELEWA ULIEKUTANA NAE/NAO HADI UKATUTOLEA HUKUMU HII NI KWA VILE HUJAMWELEWA ????? POLE SANA.
5.KUNA KITU UNAKOSEA/MNAKOSEA,NA SI WEWE TU HATA WENYE MAWAZO KAMA YAKO KUNA MAHALI WAMEKOSEA,OTHERWISE SISI NI WATU SAFI. NA WANAWAKE WOTE WANAOJUA NAMNA YA KUTUHANDLE WANAKUBALIANA NAMI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…