Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

Maria umesema kweli kabisa labda niongezee hapo " wanaume walio katika mahusiano wako katika nafasi kubwa ya ku-cheat ikiwa mahusiano waliyo nayo yakizorota hata kwa kiasi kidogo tu " kwa hali hiyo nawaasa wanawake na wasichana walio katika mahusiano watafute muafaka mapema ili yote hayo yasije tokea.
 
Biologically mwanaume ameumbwa atoe huduma kwa wanawake kadhaa ndio maana kuna uzalishaji wa sperms usiokoma, lakini mayai aliyozaliwa nayo mwanamke ni hayohayo tu. Na wanawake wanazaliwa wengi zaidi ya wanaume, hata kwa wanyama wengine. Kuku wako akitotoa vijogoo tupu ni ajabu, lakini wote tetea kawaida.
 
Naunga mkono hoja, no woman is safe no matter how beautiful, best wife she is.
 
its not true,its wrong, bias,falacy,overgeneralization,incorrect reasoning.ni madhaifu yamekushnda umeamua kuyakubali,pole
 
kwani wanaume hao wanatembea na wanyama. kama wanatembea na wanawake basi na wanawake nao siyo waaminifu katika relationship
 
Unauhakika gani, kua wewe ndo sio mwenye matatizo? Kwa nini waku cheat tuu, jirekebishe kwanza usijihesabie haki.
 
Marytina, you are right 100%. Ukiona katulia ujue hana hela, akipata tu utaona na movement zinarudi kama zamani. Ila ushetani nao umeingia kwa wanawake tuombe Mungu wetu atunusuru. Mkemme wote sasa hivi wameota pembe, mmoja akienda huku mwenzie anamalizia kule.

Tumtangulize Mungu kwa kila jamba, atatunusuru tu hawezi kutuacha.
 
bebii wanaume wamekufanyaje??..coz hata aliyeliwa tigo hawezi mind kihivyo
 
 
wanajifanya wema ila hao hao ndio kila siku wanafumaniwa
thanks umenipooza
 
Marytina
Ulipotelea wapi mamito
Karibu tena..

Kuhusu hii thread yako hako ka
Statement cha mwisho kwenye thread
Hiyo iliyoandikwa na bebii..
Kana ka ukweli ndani yake..
yaan AD ungejua navyokupenda .........
nimekumis sana
Nataman one day nikuone live
 
Kwani wanaume wana-cheat nani?? na wanawake nao ni hivyohivyo....hawaaminiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…