Kwani wanaume wana-cheat nani?? na wanawake nao ni hivyohivyo....hawaaminiki.
mie mzimaMarytina, happy Monday.
shosti husahaunilijua mmeachana ulivyokuja na bandiko la kutaka mwanaume wa kwako peke yako, mwenye kipato cha chini
utakayeweza kumcontrol,
wanaume mmezidiKwani wanaume wana-cheat nani?? na wanawake nao ni hivyohivyo....hawaaminiki.
ni kweli kabisa sijui wakoje
kwanza mie sikuhiz nikipishana nao nawaona wabayaaa hadi nguo zao mbaya
kweli nna tatizo, Mana nampenda wifi yako saaana!
Na namuheshimu, sababu ananiheshimu... Bado huamini tu kuwa kuna wanaume tuna real love? na kuna wanawake (tena wengi tu) ambao ni infidel to their lovers?
Huyo wako anaruka ruka sana nini maria?