Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Natuamaini hamjambo wana JF?
Niende kwenye mada sasa.
SIGMA MALE NI NINI?
Hawa ni wanaume Tiger. Wanafananishwa na Tiger sababu ya sifa zao kama: kujitegemea (hawana vizinga), hawana maneno mengi (sio wakimya ila ukipiga nao stori sahau habari za umbea, mitandao au udaku), mysterious sana. Utakaa na sigma zaidi ya mwaka na usije kujua mahusiano yake. Lakini pia hawa jamaa unaweza wachukulia washamba maana hawafuati fashion, mitandao na sio rahisi kumkuta Sigma social media akipost matukio.
Suala la muhusiano kwao sio kesi, na wanaongoza kwa kuignore wanawake. Wana taratibu zao ambazo ukizikwepa wanakukimbia bila byebye wala kuzozana. Wako alone muda mwingi, wanawake wanaopenda kuruka viwanja na maboy zenu, vizinga msijichanganye kwa haya madume. Atakusoma mapema na hatokwambia utashangaa hakupi attention tena na hana muda wa kubembeleza ukijinunisha. Sigma ana treat watu equally hata uwe mama au dem. Usitegemee kumkomoa sigma hizo njama pelekeni kwa sisi nice man wazee wa kulialia. Hawana muda na pisi kali. Hata ujirembe vipi kwa Sigma unaonekana wa kawaida ndo maana madem wengi ndo hujileta kwa Sigma na wengi huondoka wenyewe.
Sigma male ni wachache sana. Unaweza usije kukutana nao ndo maana wanasema Sigma ni nadharia Lakini SIGMA wapo na nimekutana nao wawili maishani mwangu. Ntajaribu kuwaelezea.
*Sigma wa kwanza kukutana nae alikuwa mwalimu. Jamaa alikuwa confident sana, hachekicheki. Wote mnaweza angua kicheko yeye akaishia kutabasamu. Jamaa alikuwa anapenda michezo na alikuwa anapenda mpira ila afungwe hasifungwe mood yake ni ileile. Alikuwa akishika zamu anawapa sheria zake. Ukizifuata umepona ukizingua adhabu yake kama alivypsema. Jamaa alikuwa anaheshimika shule nzima. Ukikutana naye kwenye msala usiongee uongo. Alikuwa good listener anakuacha unaongea anakuchapa swali moja tu unatubu mwenyewe. Jamaa alikuwa hatumii hisia. Kuna siku niliomba bimkubwa aniombee ruhusa kwake kwamba naumwa niende hospital hivyo niende home. Nilifanya hivyo maana home kulikua na harusi. Jamaa baada ya kuongea na bimkubwa aliniita na kuniambie nisirudie kumshirikisha bimkubwa kwenye dhambi ya uwongo. Alinipa ruhusa japo aliniambia kuwa anajua siendi hospital na hakutaka kujua.
*Sigma mwingine nilikutana naye chuo. Nimeenda hostel nakutana na huyu jamaa.
Jamaa alikuwa analala saa nne anaamka saa kumi na moja. Nikaja kugundua jamaa alikuwa anakula saa moja anaasoma kuanzia saa moja na nusu mpaka saa tatu na nusu. Jamaa alikuwa hana marafiki. Simi yake ikiita jua kuna disucussion au bimkubwa wake. Alikuwa na principles zake tofauti na sisi. Mfano: akitaka kufua alikuwa anachagua siku moja anafua usiku wa manane.
Kuna dada mmoja alikuwa anamshobokea sana japo jamaa hakuwa interested. Nilisikia siku moja anamwambia hasiwe anapiga simu ikishafika saa nne usiku. Nilimuuliza why anamkatisha tamaa dada watu? Jamaa aliniambia usiruhusu mtu abadilishe mipaka yako. Nilikuja kugundua mwishoni kabisa jamaa alikwa content writer kwenye website fulani na alikuwa freelancer. Jamaa alikuwa na ukaidi fulani, kuna siku walinzi walikuwa wanapitisha msako kila chumba akaniambia nisifungue mlango. Jamaa wakaja akawambia hafungui mlango labda wasubiri saa 11. Jamaa walitishia lakini mwamba hakuzidi kubishana nao mwishowe kesho yake tukapelekwa kwa warden lakini tulishinda kesi ndani ya dakika.
SIGMA Male ni true definition of a man