Wanaume: You have to grow up

Hapa umenikanyaga kidole... mi namuvuzisha stocks in millions unataka niwe na mikono migumu ili iweje?

Exactly. hizo hela zote kwanini mkeo hafanyi pedicure kila wiki? kwa nini bado anashika hizi cleaning materials zinazochubua?
Nadhani muelewe wanaume/boys, hii mada hain kiwango, kwako na mkeo 1m inaweza kuwa hela ndogo au kubwa kutegemeana na jinsi mlivyo, elfu 50 pia hivyo hivyo.
Cha muhimu ni mwanaume uwe mwanaume ndani ya hio nyumba. ili mwanamke aweze kuwa mwanamke.

Nimekumbuka ndugu yangu fulani hivi huko moshi kijijini, mume anadai hawezi kulala kitanda kimoja na mkewe eti ananuka mbolea!!! manake mdada akiamka asubuhi anawahi majani ya ngombe, then ya mbuzi, anatayarisha chakula cha subuhi na mchana kwa pamoja then anaenda sokoni kutrade vitu au anaenda shamba, ananunua jumla na kuuza rejareja hapo hapo, Akirudi nyumbani anawahi maji ya kutosha hadi kesho jioni then anapika kama inahitajika baada ya hapo lastly, anafagia kwa ngombe kwa kuwa anajua itabidi aoge. (harufu haiishi)
Mume muda wote huo inbetween meals huwa anaenda kuangalia mashamba kama mke amelima vizuri, na kama kuna kazi kubwa inahitajiaka anatafuta kibarua (hela inatoka kwny shamba) mchana lazima akakae na wazee kilabu. alikuwa msafi kam paka. kucha kama afisa wa benki kumbe anategemea shamba kula


Ila utani mbali, vijana mjitambue!!!
 

This is sensible. Si huyo nyakoo anajifariji na kakona kake eti ujumbe umefika wakati hana mantiki zaidi ya kejeli/matusi.

So back to huyo paka msafi, hivi huyo mama alikubalije kuolewa na boya wa hivyo? Alidhani atambadilisha?

MAKOSA tutendayo; wanawake wengi humkubali mwanaume wakidhani atakuja kuwa bora. Tulivyo ndo hivyo tu! Wanaume wengi huchukua mwanamke wakidhani hatobadilika. Ha! Mastaajabu baada ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
majukwaa yote ya moto leo,hata hivyo umeongea point kitaa.
 

Cha msingi ni kuwa inatakiwa mkue na muache kulalama, and good enough ni kuwa ujumbe mmeupata, hayo mengine mnajifariji nayo tuu ila man up guys, my man is veryyyyyyy proud na hakukurupuka ati.
 

Yaani wewe uwe marioo alafu ubembelezwe, ebo! We ujumbe ulikuingia haswaaaa na unaendelea kukuingia ndio maana uko busy kweli kujifariji, man up.
Na uzuri ni kuwa mantiki uliiona na ndio ukaichangia ya kwanza kabisa, hizi blah blah zingine ni kujitoa nje ya mada kujifariji tu, ila messege sent and delivered. Kejeli ni sehemu ya kufikisha ujumbe, hope ulisoma fasihi japo kidogo, so just experience the difference, sio mara zote usikie kile unachotaka kusikia ila kile unachotakiwa kusikia.
 
Last edited by a moderator:

teh ahsante kwa ushauri mpendwa..kwani who cares?
 

As usual.... umejikunyatia kwenye kona yako. Utarukaruka ila inarudi palepale. Uwasilishaji wako unakuakisi wewe ulivyo. Si zaidi ya hapo!
 

ondoa hizo 'o' mbili weka 'u' mbili. That's what you are? you smell bad. unashambulia wanaume, wewe kama dume wako yuko hivyo ongea nae chumbani usituletee taabu zako humu. style up!!!! wewe umejuaje yanayoongelewa kwenye vijiwe vya wanaume kama si malaya tu wewe!!!! nenda kaoge, shenz type!!!:angry::angry::angry:
 
As usual.... umejikunyatia kwenye kona yako. Utarukaruka ila inarudi palepale. Uwasilishaji wako unakuakisi wewe ulivyo. Si zaidi ya hapo!

Uwasilishaji umeakisi aina ya viboy mliopo jf, dont you see mlivyopagawa, jiwe limewapata mmebakia kugugumia tu, just man up.
 

Aiiiiiiiii nawe limekupata eti? Okey anza kuchukua hatua sio unajivua nguo humu.
 
Just a word of advise.
Sasa hivi kuna mitandao mikubwa sana ya kuwawezesha wanawake bila kuangalia wanaume, kusaidia watoto wa kike bila kuangalia wa kiume.
So katika wasichana waliohamasika, believe it or not, wavulana wanaomzunguka at most watakuwa na uelewa wa maisha wa chini kidogo.

Ile notion kuwa ni mwanaume, na kuwa kuna wasichana wengi sana kuliko wavulana wanaotafuta kuolewa pia inachangia kulemaza ubongo, wengi wanafikiri kuwa kuoa na msichana kuwa na pete yake ni zawadi tosha so hana majukumu mengine zaidi hapo katika familia walioianzisha.

Wengine wamelelewa na wazazi ambao wanafundisha wavulana wasifanye kazi za 'kike' so kwa kuwa mtu yuko mjini au hawezi kufanya zile kazi za 'kiume' (kuna vibarua) basi anajikuta amekaa tu masikini.

Kuna ka generation ka wavulana waliolelewa na single mothers, baadhi hawana exposure ya majukumu ya baba siwezi kuwalaumu, unless na wao wazalishe watoto wasio na mpango wa kuishi nao kwa makusudi.

Mostly ni malezi na exposure.

What to do???
Expose yourself to manly characters,
tafuta role model mwenye familia anayoisimamia vizuri
usikate tamaa, kuwa mwanaume ni tofauti na kuwa sex machine, siku hizi kuna vimashine vinasaidia tu wanawake.
ujue majukumu, wajibu, wa kujenga na kubomoa ni 50/50 baba na mama
Wasichana wanapenda ndoa sana hopping itatupa stability in life, but when it does not, kwa kweli hakuna namna ni kuondoka tu.

Leo hii house boy wetu aliekuwa anakaa na mke wake na 2 babies, kakimbiwa na mke, eti mume hana 'vision'. Kaacha watoto, mmoja 1y na 2.5 yrs. nimecheka hadi nimechanganyikiwa, so sasa baba anaangalia watoto na kazi za nje zinamsubiri, ila amepewa ultimatum ajipange
- ila tumechunguza kumbe huwa anampiga mdada wa watu akimcheka kuwa ni shamba boy.
 
Cha msingi ni kuwa inatakiwa mkue na muache kulalama, and good enough ni kuwa ujumbe mmeupata, hayo mengine mnajifariji nayo tuu ila man up guys, my man is veryyyyyyy proud na hakukurupuka ati.

Time will have better definition of you madam.
 
Mungu anamtazama mwanamke kama msaidizi wa mumewe . Mwanzo 2:18 "Bwana Mungu akasema si vyema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye". Tangu kuumbwa kwa Adam,mpaka Mungu kumletea Eva inasemekana miaka mingi ilipita hapa katikati.Sasa tunajua katika ile sura ya kwanza na ya pili ya kitabu cha mwanzo,Mungu alikuwa amempa Adam wajibu wa kutekeleza. Ikafika wakati Mungu akaona ule wajibu ni mkubwa sana kwa Adam kuutekelekeza ndipo akampa Eva.Kitu Mungu anataka tujue hapa ni hiki,wajibu aliopewa Adam peke yake asingeweza kuutekeleza bila Eva,maana yake nafasi ya Eva kwa Adam ilikuwa ni ya muhimu zaidi.Pasipo Eva,Adam angeshindwa kutekeleza wajibu.
Sasa hata leo katika ndoa,kanisa Mungu ameweka wanawake ili wawe wasaidizi katika majukumu ambayo Mungu amewapa na waume zao au wachungaji wao makanisani.
Madam nahisi maneno yangu hayawezi kukufaa pitia hii maneno ya kitabu kitakatifu,
 

Hii ina mahusiano gani na mada? Maana mie naona mada inaongelea kingine nawe umeongelea kingine, au mie ndio sijaelewa? Maana mada inasema wanaume wachukue nafasi zao kama wanaume na waache kulalamika bali they have to struggle hard, maisha mazuri hayaji kwa kulalamika, wasichague vya kufanya(ilimradi viwe halali) mwisho wa siku watafanikiwa wawe kama hao wengine waliofanikiwa.

Then sasa masuala ya kupata mwenzi ndio yatafuata, au we unamaanisha mwanaume akae tuu asubiri akioa ndio mwanamke amsaidie, maana nijuavyo jukumu ambalo Adamu hakuliweza ni kuzaa ndio akaletewa msaidizi ili amsaidie kumuongezea ukoo, mengine ni nyongeza tu, ila jukumu la kuitunza familia bado inabaki kwa mwanaume, sasa mwanaume kama haichukui hiyo nafasi it means amepunguza sifa ya kuwa mwanaume, thats what i understood, i stand to be corrected.
 

Umeongea point, wako na hawa hawajisikii raha kuwa ofisi moja na mwanamke lazima watataka wamtume kazi nje ya majukumu ili tu wajisikie wamezidi kitu. Na kuna wale kwenye ofisi zenye viposho vya hapa na pale mwingine anamkata mwanamke posho wakati walifanya kazi sawa hlf anadai we mwanamke huna majukumu hivi anajua mtu anaishije kwake? Man up
 
Nyakoo, Atoto, ungima? Amosou! Kauwono kukubed makecho, nekech mada ni osebedo mang'ich.
 

Nikushukuru kwanza kwa kujibu hoja niliyoiweka mbele.Binafsi siamini kama nimeenda nje ya mada(kama utafuatilia michango yangu na hoja nilizokua natoa kulingana na majibu mbalimbali ya mleta mada).
Binafsi nimejengwa tu kwa kiasi kikubwa na mada za mtoa mada(pamoja na changamoto kadhaa za mleta uzi) ,ni wazi mwanaume ana majukumu kwa jamii yake kama ilivyo kwa mwanamke awe ,ameolewa au la.
Binafsi sidhani kama ni sahihi kusema kwamba Adamu alipewa Eva kwa ajili kumzaliaa Adam watoto kama ulivyosema kwenye hoja yako,Mwenyezi Mungu hakumpa Adamu iNCUBATOR kwa ajili ya kuapata watoto tu,ni pamoja na mambo mengine mengi ambayo jamii ya leo i;e wanaume na wanawake wa jamii ya leo wakiyafahamu na kuyatekeleza tutakua na jamii bora zaid.
Kama tupo wanaume humu ndani tunaolalamika tu bila kufanya kazi ,ni makosa tunafanya,makosa kwa dhamiri na nafsi zetu lakini makosa pia kwa jamii yetu.Ndio maana waliotutangulia wakasema,Nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke mmoja shupavu na jasiri,ambaye alikua na mchango wa kumfanya mwenzi wake kufanikiwa.
Sidhani kama ni sahihi leo kumtaka/kutegeme kijana wa kiume/wa kike mwenye umri wa miaka kati ya 25-28(wengi wao ndio kwanza wamehitimu vyuo vikuu) awe na mafanikio sawa kiuchumi na binadamu wa kike/kiume mwenye umri wa kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Hali kadhalika kuhisi na kuamini wingi wa mali ndio mafanikio katika ulimwengu huu sio sahihi sana,bado kuna vitu vingine vinaweza kupimwa na kuonesha mafinikio katika jamii ya wanadamu.
Watu tunatoka katika mazingira tofauti,nafasi za kiuchumi pia ni tofautui kutegemea jamii yote iwe na usawa(uniformity)kiuchumi si sawa,Bottom line kila mtu azidi kujituma katika nafasi yake riziki siku zote anayepanga ni Mwenyezi Mungu,waliokwisha/mliokwisha kufanikiwa muendelea kuwa na moyo wa Shukrani Kwa Mwenyezi Mungu,msitumie fursa hizo kutoa kejeli kwa wengine,ambao bado ni watufutaji jitihada na maarifa yaongezwe,nirudie alichosema mto mada "wanaume tuache kulalama".
 
Nitakuja kueleza kwa kirefu kuhusu hilo ngoja nielekee siasani maana huko Zanzibar Jecha salim Jecha keshatuchanganya. Atafutaje Matokeo Wakati hajaitisha Hata Kikao?

Kama Wewe Unavyowaza Kuolewa na Wanaume Wenye Pesa Ndivyo na Sisi tunavyowaza Kuoa Wanawake Wenye Uwezo.

NITARUDI NIKITOKA ZANZIBAR
 

iam gwown up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…