Wanaume: You have to grow up

Wanaume: You have to grow up

Hapa umenikanyaga kidole... mi namuvuzisha stocks in millions unataka niwe na mikono migumu ili iweje?

Exactly. hizo hela zote kwanini mkeo hafanyi pedicure kila wiki? kwa nini bado anashika hizi cleaning materials zinazochubua?
Nadhani muelewe wanaume/boys, hii mada hain kiwango, kwako na mkeo 1m inaweza kuwa hela ndogo au kubwa kutegemeana na jinsi mlivyo, elfu 50 pia hivyo hivyo.
Cha muhimu ni mwanaume uwe mwanaume ndani ya hio nyumba. ili mwanamke aweze kuwa mwanamke.

Nimekumbuka ndugu yangu fulani hivi huko moshi kijijini, mume anadai hawezi kulala kitanda kimoja na mkewe eti ananuka mbolea!!! manake mdada akiamka asubuhi anawahi majani ya ngombe, then ya mbuzi, anatayarisha chakula cha subuhi na mchana kwa pamoja then anaenda sokoni kutrade vitu au anaenda shamba, ananunua jumla na kuuza rejareja hapo hapo, Akirudi nyumbani anawahi maji ya kutosha hadi kesho jioni then anapika kama inahitajika baada ya hapo lastly, anafagia kwa ngombe kwa kuwa anajua itabidi aoge. (harufu haiishi)
Mume muda wote huo inbetween meals huwa anaenda kuangalia mashamba kama mke amelima vizuri, na kama kuna kazi kubwa inahitajiaka anatafuta kibarua (hela inatoka kwny shamba) mchana lazima akakae na wazee kilabu. alikuwa msafi kam paka. kucha kama afisa wa benki kumbe anategemea shamba kula

Ila utani mbali, vijana mjitambue!!!
 
This is sensible. Si huyo nyakoo anajifariji na kakona kake eti ujumbe umefika wakati hana mantiki zaidi ya kejeli/matusi.

So back to huyo paka msafi, hivi huyo mama alikubalije kuolewa na boya wa hivyo? Alidhani atambadilisha?

MAKOSA tutendayo; wanawake wengi humkubali mwanaume wakidhani atakuja kuwa bora. Tulivyo ndo hivyo tu! Wanaume wengi huchukua mwanamke wakidhani hatobadilika. Ha! Mastaajabu baada ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
majukwaa yote ya moto leo,hata hivyo umeongea point kitaa.
 
kwa aina hii ya majibu na miitikio ni makosa kujiona u mwerevu,sina imani pia kama mwenzio anajivunia kuwa nawe,kwa tabia hii uliyoonesha.
Ninakuombea tu usichelewe kuifikia hekima na busara,nikushauri pia uwe na akiba katika kusema,sikusudii kuendelea na hii ligi,katika uzi wako kuna ya msingi nikuahidi nitayazingatia,nimalize kwa kusema nimekua na wakati mzuri katika hotuba yako.

Cha msingi ni kuwa inatakiwa mkue na muache kulalama, and good enough ni kuwa ujumbe mmeupata, hayo mengine mnajifariji nayo tuu ila man up guys, my man is veryyyyyyy proud na hakukurupuka ati.
 
This is sensible. Si huyo nyakoo anajifariji na kakona kake eti ujumbe umefika wakati hana mantiki zaidi ya kejeli/matusi.

So back to huyo paka msafi, hivi huyo mama alikubalije kuolewa na boya wa hivyo? Alidhani atambadilisha?

MAKOSA tutendayo; wanawake wengi humkubali mwanaume wakidhani atakuja kuwa bora. Tulivyo ndo hivyo tu! Wanaume wengi huchukua mwanamke wakidhani hatobadilika. Ha! Mastaajabu baada ya ndoa!

Yaani wewe uwe marioo alafu ubembelezwe, ebo! We ujumbe ulikuingia haswaaaa na unaendelea kukuingia ndio maana uko busy kweli kujifariji, man up.
Na uzuri ni kuwa mantiki uliiona na ndio ukaichangia ya kwanza kabisa, hizi blah blah zingine ni kujitoa nje ya mada kujifariji tu, ila messege sent and delivered. Kejeli ni sehemu ya kufikisha ujumbe, hope ulisoma fasihi japo kidogo, so just experience the difference, sio mara zote usikie kile unachotaka kusikia ila kile unachotakiwa kusikia.
 
Last edited by a moderator:
hongera kwa mada yako ndefu...iliyojengeka katika misingi ya majungu na umbeya wa kikekike.....kibaya zaidi ume-generalize wanaume wote as if "you once happened to date all the men here in jf".....

ingekuwa busara na bora zaidi kama punch lines hizi au mistari konde hii ingemfikia mlengwa wako......throwing a stone in a stadium full of partying people has a chance of one millionth to hit your target.

next time ukitaka kuandika hapa jf fanya haya yafuatayo
1- andika kwenye karatasi points unazotaka kuziwasilisha
2- pumzika kwa muda wa takribani masaa matatu kabla ya kuandika kwenye computer or cellphone yako
3- punguza jazba na hasira dhidi ya unayemwandikia ujumbe huo
4- anza kuandika ujumbe wako
5- soma tena kabla ya kutuma ujumbe wako
6- ukijiridhisha kwa vyote ulivyoandika sasa unaweza kutuma ujumbe wako.
7- uwe mpole na mstaarabu wakati unasoma majibu na ujumbe toka kwa watu wengine waliosoma na kuelewa dhima ya ujumbe wako hata kama ni tofauti na wewe ulivyotaka ueleweke....we are not equal from the day we humans were created.

am just a normal person expressing my understanding of your post.....nothing personal

teh ahsante kwa ushauri mpendwa..kwani who cares?
 
Yaani wewe uwe marioo alafu ubembelezwe, ebo! We ujumbe ulikuingia haswaaaa na unaendelea kukuingia ndio maana uko busy kweli kujifariji, man up.
Na uzuri ni kuwa mantiki uliiona na ndio ukaichangia ya kwanza kabisa, hizi blah blah zingine ni kujitoa nje ya mada kujifariji tu, ila messege sent and delivered. Kejeli ni sehemu ya kufikisha ujumbe, hope ulisoma fasihi japo kidogo, so just experience the difference, sio mara zote usikie kile unachotaka kusikia ila kile unachotakiwa kusikia.

As usual.... umejikunyatia kwenye kona yako. Utarukaruka ila inarudi palepale. Uwasilishaji wako unakuakisi wewe ulivyo. Si zaidi ya hapo!
 
Habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.

Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.Wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.

Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).

Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.

You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu K'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)

Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.

ondoa hizo 'o' mbili weka 'u' mbili. That's what you are? you smell bad. unashambulia wanaume, wewe kama dume wako yuko hivyo ongea nae chumbani usituletee taabu zako humu. style up!!!! wewe umejuaje yanayoongelewa kwenye vijiwe vya wanaume kama si malaya tu wewe!!!! nenda kaoge, shenz type!!!:angry::angry::angry:
 
As usual.... umejikunyatia kwenye kona yako. Utarukaruka ila inarudi palepale. Uwasilishaji wako unakuakisi wewe ulivyo. Si zaidi ya hapo!

Uwasilishaji umeakisi aina ya viboy mliopo jf, dont you see mlivyopagawa, jiwe limewapata mmebakia kugugumia tu, just man up.
 
ondoa hizo 'o' mbili weka 'u' mbili. That's what you are? you smell bad. unashambulia wanaume, wewe kama dume wako yuko hivyo ongea nae chumbani usituletee taabu zako humu. style up!!!! wewe umejuaje yanayoongelewa kwenye vijiwe vya wanaume kama si malaya tu wewe!!!! nenda kaoge, shenz type!!!:angry::angry::angry:

Aiiiiiiiii nawe limekupata eti? Okey anza kuchukua hatua sio unajivua nguo humu.
 
Just a word of advise.
Sasa hivi kuna mitandao mikubwa sana ya kuwawezesha wanawake bila kuangalia wanaume, kusaidia watoto wa kike bila kuangalia wa kiume.
So katika wasichana waliohamasika, believe it or not, wavulana wanaomzunguka at most watakuwa na uelewa wa maisha wa chini kidogo.

Ile notion kuwa ni mwanaume, na kuwa kuna wasichana wengi sana kuliko wavulana wanaotafuta kuolewa pia inachangia kulemaza ubongo, wengi wanafikiri kuwa kuoa na msichana kuwa na pete yake ni zawadi tosha so hana majukumu mengine zaidi hapo katika familia walioianzisha.

Wengine wamelelewa na wazazi ambao wanafundisha wavulana wasifanye kazi za 'kike' so kwa kuwa mtu yuko mjini au hawezi kufanya zile kazi za 'kiume' (kuna vibarua) basi anajikuta amekaa tu masikini.

Kuna ka generation ka wavulana waliolelewa na single mothers, baadhi hawana exposure ya majukumu ya baba siwezi kuwalaumu, unless na wao wazalishe watoto wasio na mpango wa kuishi nao kwa makusudi.

Mostly ni malezi na exposure.

What to do???
Expose yourself to manly characters,
tafuta role model mwenye familia anayoisimamia vizuri
usikate tamaa, kuwa mwanaume ni tofauti na kuwa sex machine, siku hizi kuna vimashine vinasaidia tu wanawake.
ujue majukumu, wajibu, wa kujenga na kubomoa ni 50/50 baba na mama
Wasichana wanapenda ndoa sana hopping itatupa stability in life, but when it does not, kwa kweli hakuna namna ni kuondoka tu.

Leo hii house boy wetu aliekuwa anakaa na mke wake na 2 babies, kakimbiwa na mke, eti mume hana 'vision'. Kaacha watoto, mmoja 1y na 2.5 yrs. nimecheka hadi nimechanganyikiwa, so sasa baba anaangalia watoto na kazi za nje zinamsubiri, ila amepewa ultimatum ajipange
- ila tumechunguza kumbe huwa anampiga mdada wa watu akimcheka kuwa ni shamba boy.
 
Cha msingi ni kuwa inatakiwa mkue na muache kulalama, and good enough ni kuwa ujumbe mmeupata, hayo mengine mnajifariji nayo tuu ila man up guys, my man is veryyyyyyy proud na hakukurupuka ati.

Time will have better definition of you madam.
 
Mungu anamtazama mwanamke kama msaidizi wa mumewe . Mwanzo 2:18 "Bwana Mungu akasema si vyema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye". Tangu kuumbwa kwa Adam,mpaka Mungu kumletea Eva inasemekana miaka mingi ilipita hapa katikati.Sasa tunajua katika ile sura ya kwanza na ya pili ya kitabu cha mwanzo,Mungu alikuwa amempa Adam wajibu wa kutekeleza. Ikafika wakati Mungu akaona ule wajibu ni mkubwa sana kwa Adam kuutekelekeza ndipo akampa Eva.Kitu Mungu anataka tujue hapa ni hiki,wajibu aliopewa Adam peke yake asingeweza kuutekeleza bila Eva,maana yake nafasi ya Eva kwa Adam ilikuwa ni ya muhimu zaidi.Pasipo Eva,Adam angeshindwa kutekeleza wajibu.
Sasa hata leo katika ndoa,kanisa Mungu ameweka wanawake ili wawe wasaidizi katika majukumu ambayo Mungu amewapa na waume zao au wachungaji wao makanisani.
Madam nahisi maneno yangu hayawezi kukufaa pitia hii maneno ya kitabu kitakatifu,
 
Mungu anamtazama mwanamke kama msaidizi wa mumewe . Mwanzo 2:18 ?Bwana Mungu akasema si vyema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye?. Tangu kuumbwa kwa Adam,mpaka Mungu kumletea Eva inasemekana miaka mingi ilipita hapa katikati.Sasa tunajua katika ile sura ya kwanza na ya pili ya kitabu cha mwanzo,Mungu alikuwa amempa Adam wajibu wa kutekeleza. Ikafika wakati Mungu akaona ule wajibu ni mkubwa sana kwa Adam kuutekelekeza ndipo akampa Eva.Kitu Mungu anataka tujue hapa ni hiki,wajibu aliopewa Adam peke yake asingeweza kuutekeleza bila Eva,maana yake nafasi ya Eva kwa Adam ilikuwa ni ya muhimu zaidi.Pasipo Eva,Adam angeshindwa kutekeleza wajibu.
Sasa hata leo katika ndoa,kanisa Mungu ameweka wanawake ili wawe wasaidizi katika majukumu ambayo Mungu amewapa na waume zao au wachungaji wao makanisani.
Madam nahisi maneno yangu hayawezi kukufaa pitia hii maneno ya kitabu kitakatifu,

Hii ina mahusiano gani na mada? Maana mie naona mada inaongelea kingine nawe umeongelea kingine, au mie ndio sijaelewa? Maana mada inasema wanaume wachukue nafasi zao kama wanaume na waache kulalamika bali they have to struggle hard, maisha mazuri hayaji kwa kulalamika, wasichague vya kufanya(ilimradi viwe halali) mwisho wa siku watafanikiwa wawe kama hao wengine waliofanikiwa.

Then sasa masuala ya kupata mwenzi ndio yatafuata, au we unamaanisha mwanaume akae tuu asubiri akioa ndio mwanamke amsaidie, maana nijuavyo jukumu ambalo Adamu hakuliweza ni kuzaa ndio akaletewa msaidizi ili amsaidie kumuongezea ukoo, mengine ni nyongeza tu, ila jukumu la kuitunza familia bado inabaki kwa mwanaume, sasa mwanaume kama haichukui hiyo nafasi it means amepunguza sifa ya kuwa mwanaume, thats what i understood, i stand to be corrected.
 
Habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.

Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.Wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.

Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).

Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.

You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu K'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)

Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.

Umeongea point, wako na hawa hawajisikii raha kuwa ofisi moja na mwanamke lazima watataka wamtume kazi nje ya majukumu ili tu wajisikie wamezidi kitu. Na kuna wale kwenye ofisi zenye viposho vya hapa na pale mwingine anamkata mwanamke posho wakati walifanya kazi sawa hlf anadai we mwanamke huna majukumu hivi anajua mtu anaishije kwake? Man up
 
Nyakoo, Atoto, ungima? Amosou! Kauwono kukubed makecho, nekech mada ni osebedo mang'ich.
 
Hii ina mahusiano gani na mada? Maana mie naona mada inaongelea kingine nawe umeongelea kingine, au mie ndio sijaelewa? Maana mada inasema wanaume wachukue nafasi zao kama wanaume na waache kulalamika bali they have to struggle hard, maisha mazuri hayaji kwa kulalamika, wasichague vya kufanya(ilimradi viwe halali) mwisho wa siku watafanikiwa wawe kama hao wengine waliofanikiwa.

Then sasa masuala ya kupata mwenzi ndio yatafuata, au we unamaanisha mwanaume akae tuu asubiri akioa ndio mwanamke amsaidie, maana nijuavyo jukumu ambalo Adamu hakuliweza ni kuzaa ndio akaletewa msaidizi ili amsaidie kumuongezea ukoo, mengine ni nyongeza tu, ila jukumu la kuitunza familia bado inabaki kwa mwanaume, sasa mwanaume kama haichukui hiyo nafasi it means amepunguza sifa ya kuwa mwanaume, thats what i understood, i stand to be corrected.

Nikushukuru kwanza kwa kujibu hoja niliyoiweka mbele.Binafsi siamini kama nimeenda nje ya mada(kama utafuatilia michango yangu na hoja nilizokua natoa kulingana na majibu mbalimbali ya mleta mada).
Binafsi nimejengwa tu kwa kiasi kikubwa na mada za mtoa mada(pamoja na changamoto kadhaa za mleta uzi) ,ni wazi mwanaume ana majukumu kwa jamii yake kama ilivyo kwa mwanamke awe ,ameolewa au la.
Binafsi sidhani kama ni sahihi kusema kwamba Adamu alipewa Eva kwa ajili kumzaliaa Adam watoto kama ulivyosema kwenye hoja yako,Mwenyezi Mungu hakumpa Adamu iNCUBATOR kwa ajili ya kuapata watoto tu,ni pamoja na mambo mengine mengi ambayo jamii ya leo i;e wanaume na wanawake wa jamii ya leo wakiyafahamu na kuyatekeleza tutakua na jamii bora zaid.
Kama tupo wanaume humu ndani tunaolalamika tu bila kufanya kazi ,ni makosa tunafanya,makosa kwa dhamiri na nafsi zetu lakini makosa pia kwa jamii yetu.Ndio maana waliotutangulia wakasema,Nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke mmoja shupavu na jasiri,ambaye alikua na mchango wa kumfanya mwenzi wake kufanikiwa.
Sidhani kama ni sahihi leo kumtaka/kutegeme kijana wa kiume/wa kike mwenye umri wa miaka kati ya 25-28(wengi wao ndio kwanza wamehitimu vyuo vikuu) awe na mafanikio sawa kiuchumi na binadamu wa kike/kiume mwenye umri wa kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Hali kadhalika kuhisi na kuamini wingi wa mali ndio mafanikio katika ulimwengu huu sio sahihi sana,bado kuna vitu vingine vinaweza kupimwa na kuonesha mafinikio katika jamii ya wanadamu.
Watu tunatoka katika mazingira tofauti,nafasi za kiuchumi pia ni tofautui kutegemea jamii yote iwe na usawa(uniformity)kiuchumi si sawa,Bottom line kila mtu azidi kujituma katika nafasi yake riziki siku zote anayepanga ni Mwenyezi Mungu,waliokwisha/mliokwisha kufanikiwa muendelea kuwa na moyo wa Shukrani Kwa Mwenyezi Mungu,msitumie fursa hizo kutoa kejeli kwa wengine,ambao bado ni watufutaji jitihada na maarifa yaongezwe,nirudie alichosema mto mada "wanaume tuache kulalama".
 
Nitakuja kueleza kwa kirefu kuhusu hilo ngoja nielekee siasani maana huko Zanzibar Jecha salim Jecha keshatuchanganya. Atafutaje Matokeo Wakati hajaitisha Hata Kikao?

Kama Wewe Unavyowaza Kuolewa na Wanaume Wenye Pesa Ndivyo na Sisi tunavyowaza Kuoa Wanawake Wenye Uwezo.

NITARUDI NIKITOKA ZANZIBAR
 
habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.

Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.

Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).

Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "mwanaume" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.

You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe bakhressa au mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu k'lyn kwa kuolewa na mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)

nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.

iam gwown up
 
Back
Top Bottom