Hapa umenikanyaga kidole... mi namuvuzisha stocks in millions unataka niwe na mikono migumu ili iweje?
Exactly. hizo hela zote kwanini mkeo hafanyi pedicure kila wiki? kwa nini bado anashika hizi cleaning materials zinazochubua?
Nadhani muelewe wanaume/boys, hii mada hain kiwango, kwako na mkeo 1m inaweza kuwa hela ndogo au kubwa kutegemeana na jinsi mlivyo, elfu 50 pia hivyo hivyo.
Cha muhimu ni mwanaume uwe mwanaume ndani ya hio nyumba. ili mwanamke aweze kuwa mwanamke.
Nimekumbuka ndugu yangu fulani hivi huko moshi kijijini, mume anadai hawezi kulala kitanda kimoja na mkewe eti ananuka mbolea!!! manake mdada akiamka asubuhi anawahi majani ya ngombe, then ya mbuzi, anatayarisha chakula cha subuhi na mchana kwa pamoja then anaenda sokoni kutrade vitu au anaenda shamba, ananunua jumla na kuuza rejareja hapo hapo, Akirudi nyumbani anawahi maji ya kutosha hadi kesho jioni then anapika kama inahitajika baada ya hapo lastly, anafagia kwa ngombe kwa kuwa anajua itabidi aoge. (harufu haiishi)
Mume muda wote huo inbetween meals huwa anaenda kuangalia mashamba kama mke amelima vizuri, na kama kuna kazi kubwa inahitajiaka anatafuta kibarua (hela inatoka kwny shamba) mchana lazima akakae na wazee kilabu. alikuwa msafi kam paka. kucha kama afisa wa benki kumbe anategemea shamba kula
Ila utani mbali, vijana mjitambue!!!