Wanaume zijue siri ambazo hupaswi kumwambia mwanamke wako kamwe

Nime ondoka na "Wafalme hawakiri dhambi zao" hayo mengine nawaachia wavulana
 
kuna sehem tukiwapitisha ulimi tu,,mnatoa had siri za michepuko
 
Mpaka nifike kumwambia hayo tunakua tumeanziana nini?
 
namba 2 ni muhimu sana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…