Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

Kwani wewe ni wa kike wa kiume?!
 
Ukweli mchungu kwangu jn namcheki mke yupo mkoa tunaongea vzr nikakata simu mara nikaka kidogo nampigia Whatsapp call anatumika nampigia kawaida anatumika bdy nampigia namuliza anasema hakuwa anatumika narudi tunaongea nasikiaa kbs hana utulivu na simu yake anaongea mambo siyaelewi kbs kama hn amani bady kama saa ngap ananipigia yup kawaida kbs ndio hali hls tunayopitia wanaume saivi kwa hawa viumbe
 
bdy nampigia namuliza anasema hakuwa anatumika narudi tunaongea nasikiaa kbs hana utulivu na simu yake anaongea mambo siyaelewi kbs kama hn amani bady kama saa ngap ananipigia yup kawaida kbs ndio hali hls tunayopitia wanaume saivi kwa hawa viumbe
Alikuwa anachakatwa huyu
 
Utofauti kati ya wanaotongoza na kufanikiwa na wale wasiofanikiwa ni kutokata tamaana. Quitters never win.
 
Mimi hata nikiwa natongoza first impression tuu huwa inanipa majibu kwa hiyo sihangaikagi Sana ..

Hakuna kitu kibaya kama kulazimisha kupendwa na lazima upigwe pesa na ufanyiwe maigizo,huo ujinga ulishaga nishinda .
 
Ndiyo mkuu. Sasa unakuta mtu anaanza kumganda mtoto wa watu kwa vitu na fedha mpk mwanamke anavutika navyo. Halafu yeye anajua kapendwa
Tena mtu qnasema kabisq ' mimi yule demu lazima nimt********mbe.
 
Kuna jamaa alikuwa anampandisha genye.
 
Wanawake wana akili sana na wanaume wachache wanaweza wakasema no kwa mwanamke anapoamua kumtongoza mwanaume.Mwanamke ukiona anakujibu jeuri ujue ana mtu wala usitafute majibu.Lakini ukimuona mwanamke aliyekuzingua anakutafuta ujue mambo yameharibika either ugonjwa au msala mwingine umetokea kule alipokuwa.Wanaume tafuteni hela na wekezeni kwani ukifika uzee ni fainali ngumu sana kwa wanaume wengi.
 
Moyo wa kupenda nishatoa nikatupia mbwa...sasa naish maisha ya nyimbo ya 2nda man...bad man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…