Wanaumeee...eeee!!!!

Wanaumeee...eeee!!!!

Ndo mana unashauriwa kufanya mapenzi walau mara 1 kila baada ya siku 21 kama hujaoa...
 
Wazazi mlipe ada mnyang'anye simu wanenu wakaripoti shule. Ona vimeshaanza kusimuliana ndoto nyevu mbele ya baba na mama zao. Balehe za siku hizi bwana.
ficha ujinga wew.....sio kila anaepost humu ni mtoto kama ww......hiz ni real situation in real life......
 
kwani hii ndo inaweza kuwa tiba?
Yes japo inategemea mtu na mtu wengine hauwezi isha mwezi haja ejaculate kwa bed, wengine yaweza isha hata miezi 2

kwa ambao wamezoea sex mara kwa mara hawa ndo wanapata shida sana
 
Yes japo inategemea mtu na mtu wengine hauwezi isha mwezi haja ejaculate kwa bed, wengine yaweza isha hata miezi 2

kwa ambao wamezoea sex mara kwa mara hawa ndo wanapata shida sana
mi last time ilinitoke kama miaka nane iliopita kipind napo form six sasa cjui sa hv imetokea wap tena
 
Ukiweza kuficha wako na mimi ntaficha. I don't dispute that. It's real during puberty.
ok brother msomi mwenye akili usie na ujinga.....hii kitu last tym imenitokea nikiwa kidato cha sita miaka nane iliopita.......na barehe nilipitia pia hii lkn ni miaka zaid ya kumi na tatu nyuma......sasa hyo juz imenitokea tena......."" ko akili yako inanambia bado nipo kubarehe???"""[emoji19]
 
Yes japo inategemea mtu na mtu wengine hauwezi isha mwezi haja ejaculate kwa bed, wengine yaweza isha hata miezi 2

kwa ambao wamezoea sex mara kwa mara hawa ndo wanapata shida sana
naweza kuamini hili
 
Back
Top Bottom