Wanaumeeee...mpooooo???this is specificaly for youuu...kiroho safiii tuuu..naomba nijuzweeee

saly91

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
86
Reaction score
27
Ivi ni kweli wanaume wako polygamous in nature yani huwezi ukawa na mwanamke mmoja?yani kuna cku niko zangu chuo na marafki nn tunadiscuss tu masomo ya darasani..sasa topic ikazuka eti mwanaume hafumaniwi bali anakutwa!!sasa sikuelewa hao wanaume wakaanza kudai kua hata mwanaume kwenye ndoa hawezi akala tu kwa mkewe siku zote lazima siku moja apate different taste eti mwanaume lazima arespect hiz feelings kwa kupata ladha tofauti.halafu hawakuishia apo..wakadai ata mkewe akimfumania ataondoka bali atarudi tu kwa ajili ya watoto..sasa mim nilijiuliza ni kwamba nyie ni dogs u cant control
 
We are dogs eh?.....hivi mbwa anajua kutumia kadi ya ATM au kumwagizia mwanamke verossa japan? Ukiona taa inawaka jua mafuta yanaungua,ukiona mwanamke anang'aa jua kuna aliyempeleka saloon.....ukipenda kula uwe tayari kuliwa.
Good evening.
 
Well said Mr. Bishanga, kwa mara ya kwanza leo umeweka pumba uvunguni. Ni hilo tu.
 
Last edited by a moderator:
Bishaga na arushaone hamjajibu swali
 
Last edited by a moderator:
We are dogs eh?.....hivi mbwa anajua kutumia kadi ya ATM au kumwagizia mwanamke verossa japan? Ukiona taa inawaka jua mafuta yanaungua,ukiona mwanamke anang'aa jua kuna aliyempeleka saloon.....ukipenda kula uwe tayari kuliwa.
Good evening.

Well said Bishanga!Safi sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume wameoa na hawajawahi daiwa hela ya saluni. Unataka kutuambia waume zao sio wanaume?

Hata kama unamtunza mkeo hakuna justification ya kumcheat. Japo still, hakuna justification ya kumuita mwanaume mbwa kwa sababu ana utashi wa kufanya atakalo.
We are dogs eh?.....hivi mbwa anajua kutumia kadi ya ATM au kumwagizia mwanamke verossa japan? Ukiona taa inawaka jua mafuta yanaungua,ukiona mwanamke anang'aa jua kuna aliyempeleka saloon.....ukipenda kula uwe tayari kuliwa.
Good evening.
 
hivi 'dogs' huwa wanafanya mapenzi na nani kama sio 'dogs' wenzao...!!!!
 
Nimeuliza if u pple r dogs cjasema moja kwa moja that u r dogs.hamuelew?kwanza hawa wanyama ndo wanarespect feelings zao..kwao kugegedana in the open sio ishu kwao..so nawacompare na nyie..mpo radhi mtoke nje jst bkoz umevutiwa na makalio ya lijanamke la bar na nyumbani umeacha mke wako mzuri tu kama sio tabia za kimbwa ni nn sasa?alaf hata kama umemnunulia verossa cjui shopping dubai mara saloon japan sio gear ya ww kua na tabia za kimbwa.mim personally nikimfumania nafunga virago nasepa na icho kiungo chake kinachomdrive azini nje ya ndoa naondoka nacho@bishanga@arushaone
 
Sio siri umetendwa bibie....Haiwezekani ulalamike hewani hivi!!!!!
 
Hata cjatendwa mie ndo kwanza natafta degree mie..nawaongelea wenzangu..koz ukiona mwenzio ananyolewa sharti kichwa nawe utie maji@arushaone
 
Kila mtu anayezini nje ya ndoa ni sawa na mbwa tu, maana hata Biblia inafananisha roho ya uzinzi ni sawa na mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…