Wanaumeeee...mpooooo???this is specificaly for youuu...kiroho safiii tuuu..naomba nijuzweeee

Wanaumeeee...mpooooo???this is specificaly for youuu...kiroho safiii tuuu..naomba nijuzweeee

Ivi ni kweli wanaume wako polygamous in nature yani huwezi ukawa na mwanamke mmoja?yani kuna cku niko zangu chuo na marafki nn tunadiscuss tu masomo ya darasani..sasa topic ikazuka eti mwanaume hafumaniwi bali anakutwa!!sasa sikuelewa hao wanaume wakaanza kudai kua hata mwanaume kwenye ndoa hawezi akala tu kwa mkewe siku zote lazima siku moja apate different taste eti mwanaume lazima arespect hiz feelings kwa kupata ladha tofauti.halafu hawakuishia apo..wakadai ata mkewe akimfumania ataondoka bali atarudi tu kwa ajili ya watoto..sasa mim nilijiuliza ni kwamba nyie ni dogs u cant control

Sisi wanaume ni dogs? Matusi hayo sasq. Tutake radhi.
 
binti,mambo ya wanaume dogs yanatoka wapi tena,manake ukisema wanaume ni dogs unakua umetusi mwenyewe pia manake kuna 'HE' dogs na 'SHE' dogs
 
Mlichokuwa mna discuss na rafiki zako ndicho ambacho baadhi.ya boys hudiscuss pia kuwahusu nyinyi. Wewe mwenyewe uko chuoni na waweza kuwa shahidi kuwa kuna mabinti wengi sana vyuoni ambao wana mahusiano na zaidi ya mwanaume mmoja, lakini huwezi conclude wanawake wote ndivyo walivyo. The same applies to men, wapi wa sampuli.hiyo.lakini.hauwezi conclude kuaa wote ni hivyo.hivyo
 
Back
Top Bottom