Ivi ni kweli wanaume wako polygamous in nature yani huwezi ukawa na mwanamke mmoja?yani kuna cku niko zangu chuo na marafki nn tunadiscuss tu masomo ya darasani..sasa topic ikazuka eti mwanaume hafumaniwi bali anakutwa!!sasa sikuelewa hao wanaume wakaanza kudai kua hata mwanaume kwenye ndoa hawezi akala tu kwa mkewe siku zote lazima siku moja apate different taste eti mwanaume lazima arespect hiz feelings kwa kupata ladha tofauti.halafu hawakuishia apo..wakadai ata mkewe akimfumania ataondoka bali atarudi tu kwa ajili ya watoto..sasa mim nilijiuliza ni kwamba nyie ni dogs u cant control